Mpanda FM

ELIMU

19 September 2024, 12:16 am

Watu wawili wanusurika kifo kwa ajali mbaya ya ya pikipiki

Pichani ni umati wa watu wakiwa eneo la tukio.picha na Kale chongela. Katika hali ya kushangaza dereva pikipiki na dereva baiskeli wamegongana na kusababisha watu wawili kunusurika na kifo wakiwa katika shughuli zao za kila siku za kusafirisha abiria. Na…

17 September 2024, 7:01 pm

RAS Mwanza akagua miradi itakayopitiwa na Mwenge 2024

Halmashauri ya Sengerema inatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru tar 07/10 ukitokea Halmashauri ya Buchosa na kuukabidhi Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe tarehe  08 Oktoba, 2024. Na;Elisha Magege Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana amekagua jumla ya miradi saba itakayopitiwa…

13 September 2024, 7:29 pm

Sango Darajani hatarini magonjwa ya mlipuko

Wafanyabiashara wa vyakula wanasema eneo hilo ni hatari kwa biashara zao kwani inaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Na Fatuma Maneno . Wananchi na wafanyabiashara wa Sango Darajani jijini Dodoma katika soko la Majengo, wamehofia usalama wa afya zao kutokana na…

1 September 2024, 8:45 pm

Akiba atelekeza mke na watoto watatu

Licha ya serikali kuendelea kupambana kukomesha vitendo vya ukatili katika jamii lakini vitendo hivi vinaonekana kuendelea kujitokeza katika maeneo mengi hasa ya vijijini Mkoani Geita Na Evance Mlyakado -Geita. Mwanaume mmoja mkazi wa Nyantorotoro A anadaiwa kutekeleza Familia ya Mama…

20 August 2024, 20:53

‘Wananchi’ wawafikia wazee Kyela

Uongozi wa timu ya Yanga Afrika umezuru wilayani Kyela na kuunda kamati ya timu hiyo katika masuala mbalimbali ya timu. Na James Mwakyembe Mratibu wa Yanga mkoa wa Mbeya Said Kastela amekutana na wazee wa Yanga wilayani Kyela kwa lengo…

31 July 2024, 7:54 pm

Mwenyekiti ajitosa kulima barabara kwa mkono-Geita road

Mwenyekiti wa mtaa wa Geita Road Kata ya Nyatukala Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  Bwn, Pelana Bagume amehudumu kwa takribani mihula minne akiwa kiongozi wa mtaa huo na wananchi wameendelea kumuamini kutoka na utendaji kazi wake. Na;Emmanuel Twimanye Mwenyekiti wa mtaa…

31 July 2024, 4:33 pm

Kura 17 za ndio zampitisha makamu mwenyekiti Pangani DC

Ni kawaida kila mwaka wa fedha baraza la madiwani hupiga kura kumchagua makamu mwenyekiti wa halmashauri anayeongoza kwa mwaka mmoja. Na Cosmas Clement Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Pangani July 31 2024 limempitisha kwa mara nyingine Mheshimiwa…