Mpanda FM
Mpanda FM
27 May 2025, 10:55 am
Na Jane Silayo Diwani wa Kata ya Sakina Mkoani Arusha ameiomba serikali kuwajengea shule ya sekondari ndani ya kata hiyo ili kuchochea maendeleo ya elimu kwa watoto. Akizungumza katika Kipindi cha Ukurasa Mpya cha Triple A Radio, Bw Elvicent Willson…
22 May 2025, 13:33
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wanawake wawili, Seva Simwinga (29) na Sara Simwinga (35), wafanyabiashara na wakazi wa Mtaa wa Mponja, Uyole jijini Mbeya, kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya dawa za kulevya aina ya bhangi yenye…
20 May 2025, 6:25 pm
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imekuwa na mafanikio katika ukusanyaji wa mapato, ikipongezwa kwa kufanya vizuri. Na Joyce Buganda Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amelitaka Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kusimamia vyema mapato yanayokusanywa…
18 May 2025, 7:46 pm
Na Adelphina Kutika ZAIDI ya vijana 120 kutoka kata 18 za Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanatarajia kunufaika na mradi wa uendelezaji wa ujuzi wa kujiajiri kupitia usindikaji wa bidhaa za chakula. Hayo yameelezwa katika hafla ya ufunguzi wa mradi…
15 May 2025, 8:31 pm
Vikundi vya wajasiriamali wa halamashauri ya wilaya ya Uvinza waanza kunufaika na elimu iliyoanza kutolewa hii leo mei 15 juu ya mkopo wa asilimia kumi wa mama Samia. Na Linda Dismas Vikundi vya ujasiriamali katika wilaya ya Uvinza leo Mei…
12 May 2025, 2:42 pm
Mwenyekiti wa Chama cha wachimba madini mkoa wa Geita (GEREMA) Ndg. Titus Kabuo amesema dhumuni kubwa la kongamano hilo ni kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuiboresha sekta ya madini na kuweka mazingira rafiki ya uchimbaji na ufanyaji biashara.…
9 May 2025, 4:41 pm
“Uchunguzi wa mapema uliwasaidia kupata tiba kwa wakati, hali iliyowezesha matibabu kuwa na ufanisi mkubwa na hatimaye kupona kabisa saratani ya matiti“ Na Mary Julius Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani Zanzibar Dk Hellen Makwani ametoa wito kwa jamii, hasa…
May 8, 2025, 1:03 pm
Na Mwandishi wetuMadaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Rais Samia wamehitimisha kambi ya utoaji huduma za kibingwa katika halmashauri zote nane (8) za mkoa wa Kagera ambapo wananchi wameomba utaratibu huo kurasimishwa ili waendelee kuwapunguziwa gharama za matibabu. Wakihojiwa na…
7 May 2025, 7:43 pm
Na Mary Julius. Katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya nane inayoongozwa na rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, kuboresha huduma za afya kwa wananchi wote zanzibar , Taasisi ya PharmAccess…
7 May 2025, 4:53 pm
Na Mary Julius. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji amesema serikali ya awamu ya nane ya rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk Hussein Ali Mwinyi katika kipindi cha miaka 4 imewekeza zaidi…