Mpanda FM

AFYA

10 October 2024, 4:58 pm

Wazee Katavi waomba kuimarishiwa huduma za afya

baadhi ya wazee manispaa ya Mpanda “Kuwepo na msisitizo  juu ya matibabu ya bure kwa wazee wasiojiweza kumudu gharama za matibabu.“ Na Lazaro Maduhu-Katavi Baadhi ya wazee wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuhimarishiwa  huduma ya matibabu katika…

10 October 2024, 3:48 pm

TRA kuboresha mazingira na wafanyabiashara Iringa

Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara mkoa wa iringa ili kuboresha mazingira ya mazuri yatakayowawezesha kulipa kodi kwa wakati. Hayo yamebainishwa na Kamishina  mkuu wa  Mamlaka ya Mapato Tanzania Yusufu Mwenda  katika kikao…

7 October 2024, 8:34 pm

Afariki baada ya kubakwa na kutobolewa jicho, Sillo alaani

Serikali yalaani tukio la mwanamke aliyebakwa na kulawitiwa  mkoani Manyara ambapo  jamii  imetakiwa kukemea vitendo hivyo vya kikatili nakuwalea watoto wao  katika maadili mazuri. Na Mzidalfa Zaid Mwanamke mmoja wa kata ya Magugu mkoani Manyara amefariki baada ya kubakwa  na…

3 October 2024, 6:08 pm

Barabara ya Lwangwa gesi kuinua uchumi wa wananchi Busokelo

Ili kuinua uchumi wa wananchi serikali imejenga barabara ya kiwango cha lami kwa lengo la mkulima kuweza kusafirisha mazao yake kwa urahisi. Na Lennox Mwamakula Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba John Kabudi ametembelea na kukagua mradi wa barabara …

26 September 2024, 8:54 pm

Kipindi maalum kuelekea uchaguzi serikali za mitaa Buchosa

Wananchi Halmashauri ya Buchosa wametakiwa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini. Hayo yamebainishwa na msimamizi wa uchaguzi halmashauri hiyo Bwn. Benson Mihayo, ambapo amesema kuwa…

26 September 2024, 4:14 am

Wachimbaji waomba mgodi uliofungwa ufunguliwe Mbogwe

Baadhi ya wananchi mkoani Geita wamekuwa wakijihusisha na shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu ili kuendesha maisha yao pamoja na kupata kipato cha kumudu gharama za maisha. Na: Edga Rwenduru -Geita Wachimbaji wadogo katika mgodi wa Isanjabhadugu (maarufu Area B)…

24 September 2024, 9:16 pm

Wananchi Katavi watakiwa kuzingatia unywaji maji ulio sahihi

picha na mtandao “Kitaalamu unywaji wa maji unatofautiana kulingana na jinsia; wanawake, wanaume na watoto kuzingatia unywaji huo husaidia zaidi mzunguko mzuri wa damu,“ Na Rachel Ezekia -Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia viwango sahihi vya unywaji…

24 September 2024, 9:30 am

Manispaa ya Iringa yatenga Mil 918 kuwakopesha vijana

Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmshauri hapa Nchini imetajwa kuwa mkombozi kwa wanufaika huku Serikali ikisubiriwa kutoa tamko juu utaratibu wa utolewaji wake. Na Hafidh Ally Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imetenga zaidi ya shilingi milioni 918 ambazo zitatumiwa…