Mpanda FM

AFYA

20 November 2021, 11:35 am

Huduma Mkoba Kuimarisha Zoezi la Chanjo ya Uviko 19

Serikali mkoani katavi imekuja na mpango  harakishi na shirikishi wa kutoa  huduma mkoba  ya uviko19 ambavyo itawasaidia wananchi kupata chanjo hiyo  popote  pale walipo. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkao wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko   ambapo ameeleza kuwa wamekuja na…

20 November 2021, 10:44 am

Mifumo Mibovu ya Maisha Chanzo cha Magonjwa Yasiyoambukiza

Wananchi mkoani katavi wameshauliwa kubadili mtindo wa maisha ili kuondokana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo ugonjwa wa moyo. Kauli hiyo imetolewa na daktari wa idara ya magonjwa yasiyoambukiza kutoka  hospitali ya rufaa ya mkoa wa katavi dokta  Daniford Mbohilu…

19 November 2021, 12:01 pm

Katavi na Maadhimisho ya Magonjwa Yasiyoambukiza

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza wameeleza  umuhimu wa mazoezi sambamba na kuwaasa wananchi wenzao kujitokeza kwenye mazoezi. Wameyasema hayo walipozungumza na mpanda redio fm katika uwanja wa Azimio ambapo yaefanyika maadhimisho ya…

19 November 2021, 11:52 am

Bustani Jiko Mkombozi wa Udumavu

Wananchi Mkoani Katavi wameaswa kujihusisha na kilimo cha Bustani Mkoba ili kuepukana na changamoto ya utapiamlo na udumavu unaosababishwa na ulaji usiofaa Hayo yameelezwa na Gastor Mwakilembe Afisa Kilimo Manispaa ya Mpanda ambae pia ni Mratibu wa mradi wa Bustani…

19 November 2021, 11:16 am

Wanawake Acheni Kukanda Maji

Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kuachana na dhana ya kuwakanda  maji ya moto pindi wanapojifungua  kwani kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida zinazoainishwa na jamii nyingi. Editha Ngavatula ni muuguzi katika hospitali teule ya mkoa wa Katavi amesema kuwa…

19 November 2021, 10:14 am

12,000 Wapata Chanjo ya Sinopharm

KATAVI Zaidi ya wananchi elfu nne mkaoni katavi wamepata chanjo  ya dozi ya kwanza ya  sinopharm na kufanya idadi ya watu waliopata chanjo ya uviko19 kufikia elfu kumi  na mbili mkoani hapa. Kauli hiyo imetolewa na mganga mkuu wa mkoa…