Uncategorized
23 May 2022, 1:56 pm
MIGOGORO WAKULIMA NA WAFUGAJI HALI TETE
KATAVI. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Karema mkoani katavi wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgogoro kati ya wakulima na wafugaji kabla haujaleta madhara makubwa katika jamii. Wakulima hao wameiambia mpanda radio fm kuwa ugomvi kati ya wafugaji…
23 May 2022, 1:03 pm
DC TANGANYIKA UMEME KAREMA KABLA YA MAY 20
KATAVI. Mkuu wa wilaya ya tanganyika onesmo buswelu amelitaka shirika la umeme mkoa wa katavi kuunganisha umeme katika bandari ya karema kabla ya may 20 mwaka huu kwakuwa mradi huo upo katika hatua za mwisho kukamilika. Buswelu ametoa angizo hilo…
20 November 2021, 1:13 pm
Mabalozi Wapewa Darasa na Ewura
Mwenyekiti wa baraza la ushauri watumiaji wa huduma za nishati na maji katika mkoa wa Katavi EWURA CCC Steven Kinyoto amewataka wenyeviti wa mitaa katika manispaa ya Mpanda kuwa mabalozi kwa kuelimisha jamii katika kupata haki zao kwa watumiaji wa…
20 November 2021, 11:45 am
Mkuu wa Mkoa Katavi Awaonya Viongozi Kuhusu Uhalifu
Mkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka viongozi wa serikali kutokuwa chanzo cha kukumbatia uharifu katika jamii. Akizungumza na Mpanda Radio Fm amesema kumekuwa na tabia kwa baadhi ya viongozi wa serikali kutumia nafasi zao za kazi kuwatetea waharifu…
20 November 2021, 10:52 am
Madereva Zingatieni Sheria za Barabarani
Madereva wa vyombo vya moto mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia sheria na taratibu zote za usalama barabarani. Wito huo umetolewa mapema leo na Sanjeti Jofrey Britoni wakati akizungumza na kituo hiki na kubainisha kumekuwa na madereva wanaovunja na kukaidi kufuata utaratibu…
20 November 2021, 10:44 am
Mifumo Mibovu ya Maisha Chanzo cha Magonjwa Yasiyoambukiza
Wananchi mkoani katavi wameshauliwa kubadili mtindo wa maisha ili kuondokana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo ugonjwa wa moyo. Kauli hiyo imetolewa na daktari wa idara ya magonjwa yasiyoambukiza kutoka hospitali ya rufaa ya mkoa wa katavi dokta Daniford Mbohilu…
19 November 2021, 12:33 pm
Elimu ya Uraia Itolewe
Wananchi wa wilaya ya mpanda mkoani katavi wameiomba serikali kupitia idara ya uhamiaji kutoa elimu ya uraia ili kuwajengea wananchi uelewa katika masuala ya uraia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na mpanda redio baadhi ya wananchi wamesema hawana elimu ya kutosha…
19 November 2021, 12:23 pm
Wazee Uwanja wa Ndege Waonya Vikundi Vya Uhalifu
Wazee wa kata ya uwanja wa Ndege Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamewashauri wazazi na walezi katika kata hiyo kuwaeleza watoto juu ya madhara yatokanayo na kujihusisha na makundi ya kiuharifu Wakizungumza na kituo hiki mara baada ya kikao na…
19 November 2021, 12:12 pm
Million 245 za Mkopo wa Asilimia Kumi Katavi
Zaidi ya shilingi milioni mia mbili arobaini na tano zimetolewa kwa wanawake vijana na watu wenye ulemavu ambao ni wanuafaika wa mkopo wa asilimia kumi kutoka manispa ya mpanda mkoani katavi. Akikabidhi mikopo hiyo katika ukumbi wa manispaa mkoani katavi…
19 November 2021, 10:58 am
Mpanda Hotel Kuimarisha Ulinzi
Wananchi wa mtaa wa mpanda hotel manispaa ya mpanda mkoani katavi wameuomba uongozi wa mtaa huo kuimarisha ulinzi na usalama ili kudhibiti changamoto itokanayo na vikundi vya uhalifu katika mtaa huo. Wakizungumza na mpanda fm kwa nyakati tofauti wananchi hao…