Mpanda FM

Uncategorized

17 January 2023, 5:49 pm

Kilio Watendaji Uuzaji Pombe Muda wa Kazi

MPANDA Baadhi ya wananchi Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi wamesema kuwa kuendelea kuwepo kwa wafanyabiashara wanaofungua kumbi za starehe na pombe kinyume na muda uliopangwa unachangiwa na watendaji wasio wajibika katika usimamizi wa sheria Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi…

17 January 2023, 5:42 pm

Wananchi Waaswa Kuzingatia Usafi Kipindi cha Mvua

MPANDA Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameshauriwa kuzingatia kanuni za usafi kipindi hiki cha masika ambapo mvua zinaendelea kunyesha ili kujiepusha na magojwa ya mlipuko. Wakizungumza na mpanda radio fm wakazi wa manispaa ya mpanda wamesema ipo tabia kwa…

17 January 2023, 5:39 pm

Wauza Vyakula Waaswa Kuzingatia Usafi.

KATAVI Wananchi manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamewaomba Wauzaji wa vyakula migahawani kuzingatia kanuni za usafi ili kuepukana na Magonjwa ya milipuko yanayoweza kuwapata Wateja. Wakizungumza na Mpanda Radio wamesema kuwa kuna baadhi ya wahudumu wa migahawa hawazingazii kanuni za…

17 January 2023, 4:55 pm

Msasani Walia na Maji Safi.

MPANDA Wananchi wa Mtaa wa Msasani Kata ya Mpanda Hotel wamelalamikia kukosekana kwa maji safi na salama kwa matumizi yao ya kila siku. Wakizungumza na Mpanda Radio Fm Wamedai changamoto imekua ni ya kudumu kutokana na mabomba kuharibika mara kwa…

11 October 2022, 10:35 am

Wakulima Washukuru kwa Mbolea ya Ruzuku

MPANDA Baadhi ya wakulima wa mazao kata ya Minsukumilo halmashauri ya Mpanda wameishukuru serikali kwa kuwapa ruzuku ya mbolea. Wakizungumza na Mpanda radio FM wakulima hao wamesema ruzuku hiyo itasaidia kuongeza mavuno tofauti na hapo awali huku wakiwahamasisha wakulima wengine…

6 September 2022, 10:23 am

Wananchi Mkoa wa Katavi waachana na tahadhari za UVIKO 19

KATAVI Baadhi ya Wananchi mkoani Katavi wameonekana kuacha kuzingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 tofauti na ilivyokua hapo awali. Mpanda radio imepita katika maeneo mbalimbali mkoani hapa na kubaini kuwa hakuna tahadhari yeyote inayochukuliwa ya kujikinga na ugonjwa…

8 June 2022, 3:42 pm

WAZAZI SIMAMIENI MALEZI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI

Baadhi ya wazazi na walezi mkoani katavi wameshauriwa kuwalea watoto katika misingi bora ili kuepuka janga la watoto wa mitaani na mmomonyoko wa maadili. Wakizungumza na mpanda fm baadhi ya wazazi hao wamesema kuwa hali duni ya maisha ndio sababu…

25 May 2022, 4:23 pm

TAKUKURU: WANANCHI TUSHIRIKIANE KUTOMEZA RUSHWA

Jamii mkoani katavi imeaswa kushirikiana na tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuku  katika kutokomeza  vitendo vyote vya rushwa mkoani hapa. Wito huo umetolewa na  Mkuu wa Takukuru Mkoani katavi Festo Mdede wakati akitoa taarifa  ya utendaji kazi wa…