Mpanda FM

Uncategorized

19 November 2021, 10:58 am

Mpanda Hotel Kuimarisha Ulinzi

Wananchi wa mtaa wa mpanda hotel manispaa ya mpanda mkoani katavi wameuomba uongozi wa mtaa huo kuimarisha ulinzi na usalama ili kudhibiti changamoto itokanayo na vikundi vya uhalifu katika mtaa huo. Wakizungumza na mpanda fm kwa nyakati tofauti wananchi hao…

19 November 2021, 10:44 am

Wafanyabiashara Soko la Matunda Walia na Vibanda

Baadhi ya wafanyabiashara soko la matunda lililopo mtaa wa kawajense Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameuomba uongozi wa soko kuwawekea mfumo mzuri wa uwepo wa vibanda vya kuuzia bidhaa zao. Wakizungumza na mpanda radio FM wafanyabiashara hao wamezitaja changamoto…

19 November 2021, 10:14 am

12,000 Wapata Chanjo ya Sinopharm

KATAVI Zaidi ya wananchi elfu nne mkaoni katavi wamepata chanjo  ya dozi ya kwanza ya  sinopharm na kufanya idadi ya watu waliopata chanjo ya uviko19 kufikia elfu kumi  na mbili mkoani hapa. Kauli hiyo imetolewa na mganga mkuu wa mkoa…

25 October 2021, 6:44 pm

Silverland yawa Mkombozi kwa Wafuga Kuku Katavi

MPANDA. Baadhi ya wafugaji wa kuku manispaa ya mpanda mkoani katavi waishukuru kampuni ya silverlands kwa kuwapa mafunzo ya ufugaji kuku wenye tija. Wameyasema hayo walipokua wakizungumza na mpanda radio fm mara baada ya mafunzo yaliyofanyika katika ofisi ya mtendaji…

25 October 2021, 6:32 pm

Marieta Mlozi Awafunda Wanawake Katavi

KATAVI Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya mpanda marieta mlozi amewataka  wanaume kuacha tabia  ya kuwakatiza wanawake  kujishungulisha katika kazi mbalimbali za kujiingizia kipato. Akizungumza na mpanda radio fm Marieta ameeleza kuwa wanawake wengi wamekuwa wakipitia  vitendo vya  unyanyasaji kijinsia…

25 October 2021, 5:49 pm

Zaidi ya Milioni 100 Kukamilisha Ujenzi wa Shule Nsemurwa

MPANDA Halmashauri ya manispaa ya  mpanda mkoani katavi imetenga shilingi milioni mia moja kwa lengo la kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari nsemulwa kabla ya kufika mwaka 2022. Kauli hiyo imetolewa na meya wa manispaa ya  mpanda Aidary Sumry alipokuwa…

13 October 2021, 8:58 am

Mufti Mkuu Tanzania: Bakwata tafuteni hati

OKTOBA 6, 2021 KATAVI Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuberi amewataka makatibu wa misikiti yote Mkoani katavi kuhakikisha wanapata hati miliki za viwanja vyote vinavyomilikiwa na baraza la waislam Tanzania BAKWATA. Shekh mkuu wa Tanzania ameyasema hayo…