Mpanda FM

Uncategorized

23 May 2023, 10:38 am

Sauti ya Katavi (Matukio)

KATAVI Jeshi la Polisi Mkoani hapa Katavi kwa kushirikiana na Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi wamewakamata watu wanne wakiwa na meno ya Tembo vipande 13 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 247. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi…

19 May 2023, 8:16 pm

Sauti ya Katavi (Matukio)

MPANDA Watu wawili wamenusurika kifo mara baada ya kung’atwa na mbwa anayesadikika kuwa na kichaa katika Mtaa wa Maridadi Kata ya Majengo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Waliong’atwa na mbwa katika mtaa wa huo wa Maridadi ni Belta Baltazari mwenye…

18 May 2023, 7:09 pm

Sauti ya Katavi (Matukio)

TANGANYIKA. Wakazi wa kijiji cha kasinde kata ya kabungu Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika wameutaka uongozi wa kata hiyo kutatua changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imekuwa kikwazo kwa kipindi kirefu. Wakizungumza na Mpanda redio fm…

17 May 2023, 7:16 pm

Sauti ya Katavi (Matukio)

KATAVI-TANGANYIKA Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kasinde wameutaka uongozi wa kijiji hicho kutolea ufafanuzi  utaratibu uliopo katika uchimbaji wa madini ya COPPER yaliyopo katika mlima wa  kijijini hapo. Hii inajiri mara baada ya uwepo wa taarifa za uwepo wa…

17 May 2023, 10:43 am

Sauti ya Katavi (Matukio)

MPANDA Zaidi ya Mbwa 621wameuawa kufuatia zoezi lililofanyika kwa awamu nne la kuangamiza mbwa wasio na makazi maalumu ili kuondoa mbwa wenye vichaa ndani ya manispaa ya mpanda. Zoezi hilo limefanyika katika kata zote za manispaa ya mpanda na kufanikiwa…

20 January 2023, 3:57 am

Madereva Bajaji Walia na Bima

KATAVI Baadhi ya madereva bajaji mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo bima za vyombo vya moto haziwasaidii pindi yanapotokea majanga ya barabarani. Wameyaeleza hayo wakati wakipewa elimu juu ya umuhimu wa bima za vyombo vyao vya moto ambapo wamesema aina hiyo…

17 January 2023, 6:04 pm

Magari ya Shule Kubeba Wanafunzi Kuliko Uwezo.

MPANDA Kutokana na kuendelea kukithiri kwa changamoto ya magari ya shule kubeba wanafunzi idadi kubwa kuliko uwezo, wananchi mkoani Katavi wamewataka wamiliki wa shule kuzingatia sheria zinavowataka. Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi wamesema kuwa wameshuhudia baadhi ya magari hayo…