SIASA.
24 April 2024, 7:24 pm
TAKUKURU Katavi yapokea malalamiko ya rushwa 41 kwa miezi mitatu
Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa {TAKUKURU} mkoa wa Katavi Faustine Maijo akizingumza na waandishi wa habari picha na Ben Gadau “Kuhusu malalamiko ya Rushwa Takukuru katika kipindi hicho cha miezi mitatu tumepokea malalamiko 41 yanayohusiana na…
21 April 2024, 1:17 pm
CHADEMA: maandamano ya amani kufanyika april 24 mkoani Katavi
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA .Picha na Lilian vicent “chama cha demokrasia na maendeleo kimejipanga kwa kuandaa mwanasheria atakaesimamia kesi za migogoro mbalimbali ambayo wananchi wa mkoa wa Katavi wanaonewa bila kupewa haki yao.“ Na Samwel Mbugi…
19 April 2024, 12:03 pm
Mwenyekiti Chadema mkoa wa Katavi atangaza maandamano
Mwenyekiti wa Chama cha Chadema mkoa wa Katavi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Picha na Lilian Vicent “tuna mambo makuu manne ikiwamo jambo la maandamano ambapo wiki ya maandamano inaanza tarehe 22 mwezi wa nne na jambo hili…
14 April 2024, 1:18 am
Katibu Mkuu CCM atua Mpanda, asikiliza kero za wananchi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt.Emmanueli Nchimbi akizungumza na Wananchi na Viongozi Mbalimbali Katavi .Picha na Samwel Mbugi “Serikali itaendelea kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM katika kusimamia miradi yote ili iweze kuleta manufaa yaliyokusudiwa“…
13 April 2024, 11:18 pm
Dkt. Nchimbi apokelewa Katavi kwa kishindo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.Emmanuel Nchimbi akiwasili Katika uwanja wa ndege Mkoani Katavi kwa ajili ya ziara ya siku mbili Mkoani hapa .Picha na Samwel Mbugi “ Amewataka Viongozi kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wanaweka…
11 April 2024, 10:00 am
Wananchi Katavi watakiwa kushiriki uchaguzi
“Uchaguzi unapofika ni vema kushiriki katika uchaguzi huo na kuendeleza utulivu na amani iliyopo” Sheikh Nassoro Kakulukulu. Na Deus Daudi-Katavi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Katavi Nassoro Kakulukulu amewataka Wananchi kujiandaa na kushiriki katika Uchaguzi Wa serikali za Mitaa na…
19 February 2024, 4:32 pm
CCM wilaya Mpanda yaingilia uchaguzi wa shina ulioshindikana mara mbili
Picha na Samwel Mbugi Wamesimamia uchanguzi na kumpata mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa shina la Mpanda Hotel Donard Chrispin Mpazi aliyeshinda kwa kupata kura 195 kati ya wapiga kura 326 baadaya uchaguzi huo kushindwa kufanyika mra mbili. Na Samweli…
5 February 2024, 3:49 pm
Makonda: Watendaji wazembe serikalini wanakiangusha chama
“Chama cha mapinduzi hakipo tayari kuona Wananchi wakiendelea kuteseka na kero zinzowakabili huku watendaji wa serikali wakitumia mianya hiyo kujinufaisha wenyewe bila kujali wananchi.Picha na Deus Daud Na Festo Kinyogoto Mjumbe wa halamashauri kuu ya CCM taifa, katibu itikadi uenezi…
20 November 2021, 12:30 pm
Mkuu wa Wilaya: Wakurugenzi Simamieni Miradi
Mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph amewaagiza wakurugenzi wa manispaa ya mpanda na halmashauri ya nsimbo kusimamia miradi ya maendeleo ili inapokamilika iwe na ubora unaoendana na thamani ya pesa iliyotolewa. Akizungumza katika kikao cha kamati ya ushauri ya…
19 November 2021, 10:29 am
Bilioni Nne Kunufaisha Halmashauri ya Nsimbo
Halmashauri ya Nsimbo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imepata zaidi ya shiling bilioni nne kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo vyumba vya madarasa. Akizungumza na kituo hiki mkurugenzi wa halmashauri hiyo Mohamed Ramadhani amesema kuwa kupatikana fedha…