Mpanda FM

AFYA

10 April 2024, 11:47 pm

Wananchi Katavi waomba elimu zaidi kuhusu gonjwa wa red eyes

“Changamoto inayochangia kuongezeka kwa Ugonjwa huo ni pamoja na baadhi ya Watu kutokufahamu ugonjwa huo unaambukizwa kwa njia ipi“ Na Veronika Mabwile -Katavi Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Mpanda  mkoani Katavi  hawana uelewa wa namna ya kujikinga na maambukizi…

21 March 2024, 10:55 am

Wananchi Katavi hawana elimu ya utunzaji wa kinywa, meno

Picha na Mtandao “Utafiti uliofanyika umegundua kuwa watoto  wenye umri wa miaka sita hadi tisa ndio waathirika wakubwa“ Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni  mseto kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya afya ya kinywa…

15 March 2024, 6:01 pm

KATAVI, TMDA Yabaini Ongezeko la Ugonjwa wa Figo

“Kuna changamoto ya Ini na Figo kushindwa kufanya kazi, na Saratani kuongezeka katika Jamii Yanayosababishwa na  matumizi mabaya ya dawa kwa baadhi ya Wananchi” Picha na Mtandao Na Samwel Mbugi-katavi Mamlaka ya dawa na vifaa tiba [TMDA] kutoka makao Makuu…

20 February 2024, 5:24 pm

Wabeba taka Mpanda wameshindwa kazi?

Wananchi wamesema mtaa huo umekuwa na harufu kali ambayo imekuwa haivumiliki na wamekosa namna  ya kufanya hivyo wanahifadhi kwenye mifuko  kwa sababu taarifa za taka hizo wamelalamika kwa viongozi wao bila mafanikio yeyote. Na Samwel Mbugi-Katavi Wananchi wa kata ya…

20 November 2021, 11:35 am

Huduma Mkoba Kuimarisha Zoezi la Chanjo ya Uviko 19

Serikali mkoani katavi imekuja na mpango  harakishi na shirikishi wa kutoa  huduma mkoba  ya uviko19 ambavyo itawasaidia wananchi kupata chanjo hiyo  popote  pale walipo. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkao wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko   ambapo ameeleza kuwa wamekuja na…

19 November 2021, 12:01 pm

Katavi na Maadhimisho ya Magonjwa Yasiyoambukiza

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza wameeleza  umuhimu wa mazoezi sambamba na kuwaasa wananchi wenzao kujitokeza kwenye mazoezi. Wameyasema hayo walipozungumza na mpanda redio fm katika uwanja wa Azimio ambapo yaefanyika maadhimisho ya…

19 November 2021, 11:16 am

Wanawake Acheni Kukanda Maji

Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kuachana na dhana ya kuwakanda  maji ya moto pindi wanapojifungua  kwani kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida zinazoainishwa na jamii nyingi. Editha Ngavatula ni muuguzi katika hospitali teule ya mkoa wa Katavi amesema kuwa…