Mazingira FM

kijamii

16 April 2024, 12:13 pm

Gambi: Marufuku pikipiki hizi kubeba nyara

Viongozi wa CCM ngazi ya kata wakabidhiwa pikipiki waonywa kuzitumia kufanyia uhalifu. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa viongozi wa CCM ngazi ya kata waliopata pikipiki za chama kuepuka kutumia vyombo hivyo kufanya uhalifu. Wito huo umetolewa na  Afisa wa…

13 April 2024, 6:34 pm

Aliyebaka ahukumiwa kupigwa viboko 6 na kuachiwa

Mahakama ya willaya ya bunda imemuhukumu Mshtakiwa Frank Majani (18) kuchapwa viboko sita (6) baada ya kupatika na hatia kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano ambaye pia ni binamu yake. Na Adelinus Banenwa Jeshi la Magereza Bunda…

12 April 2024, 4:36 pm

Mwanamke akutwa amejinyonga chumbani kwake Bunda

Mwanamke mmoja liyetambulika kwa jina la Nyanjara Haruni Rubailo [48] amekutwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake Bunda. Na Adelinus Banenwa Mwanamke mmoja liyetambulika kwa jina la Nyanjara Haruni Rubailo [48] amekutwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake Bunda. Akizungumza na Mazingira…

11 April 2024, 11:23 am

Wafugaji wamchagua Mshota mwenyekiti taifa

Mrida Mshota ambaye ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi NARCO amefanikiwa kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa wafugaji taifa katika uchaguzi uliofanyika 8 April 2024 Dodoma. Na Adelinus Banenwa Mrida Mshota ambaye ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi NARCO amefanikiwa…

4 April 2024, 5:42 pm

Wanaojipitisha kusaka uongozi CCM Bunda waonywa

Katibu awa siasa na uenezi CCM Bunda ndugu Gasper Petro amewaonya wanachama wa CCM wanaopitapita kwa nia ya kugombea nafasi ambazo bado viongozi wake wapo kama vile uwenyekiti, udiwani au ubunge ndani ya wilaya ya Bunda. Akizungumza katika ziara ya…