Mazingira FM

kijamii

6 May 2024, 5:41 pm

Mafuriko yawaweka hatarini wakazi wa Lamadi Simiyu

Na Edward Lucas Wananchi wa Kitongoji cha Makanisani na Lamadi kata ya Lamadi wilaya ya Busega mkoani Simiyu wako hatarini kupata milipuko ya magonjwa baada ya vyoo kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wakizungumza na Mazingira Fm wakazi hao…

1 May 2024, 10:45 am

Pikipiki za CCM Bunda zazua kizaazaa, viongozi watoa matamko

Wengine watajwa kuzitumia kama bodaboda wengine kubebea samaki wengine watajwa kuzigawa kwa watoto wao Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM wilaya Bunda wakili Leonard Magwayega amepiga marufuku kwa viongozi wa jumuiya hiyo waliopewa pikipiki za chama kuzitumia…

28 April 2024, 3:02 pm

Wananchi Bunda wapewa somo kuepuka athari za kiboko

Kufuatia matukio yaliyoripotiwa wiki iliyopita ya kiboko kujeruhi na kuua, Afisa Wanyamapori TAWA atoa somo namna ya kuepuka athari za mnyama huyo Na Edward Lucas Wananchi wameaswa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Kiboko na kutoa taarifa mapema kwa mamlaka husika…

25 April 2024, 1:11 pm

Ofa ya zuku neema kwa wakazi wa Mara na mikoa jirani

Zuku yaombwa kufikisha huduma vijijini kutatua changamoto ya vingamuzi kuganda kipindi cha masika. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa uongozi wa kampuni ya  zuku kufikisha huduma ya visimbuzi vyao  vijijini ili nao wanufaike na huduma zao. Wito huo umetolewa na…