Loliondo FM

Habari za Jumla

16 April 2024, 7:13 am

Nape Nnauye awataka wananchi Ngorongoro kusimama na Samia

Baadhi ya wananchi wachache katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakiitumia mitandao yao vibaya ikiwemo kuwatukana na kuwachafua viongozi wa nchi kwenye mitandao hiyo kinyume na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii,hivyo viongozi wa serikali wamekuwa wakiwasisitiza kuacha kufanya hivyo kwani…

2 April 2024, 10:46 am

Ngorongoro yaguswa na bilioni 2.5 za TASAF Arusha

Serikali imekuwa ikiendelea na mpango wa kuzinusuru kaya masikini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kwa halmashauri zote zilizo kwenye mpango huo, halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ikiwemo. Na mwandishi wetu. Jumla ya shilingi bilioni 2.5 zimegawiwa na serikali kwa…

27 March 2024, 11:39 am

Kaya 140 zanufaika na fedha za Tasaf Ngorongoro

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii – TASAF kuanzia mwaka 2000, ikiwa ni moja ya mbinu za kutokomeza umasikini ambazo pia zilisaidia ajenda ya ugatuaji wa madaraka. Katika kipindi cha…

14 March 2024, 3:19 pm

Nguzo zaanguka Longido, Ngorongoro yakosa umeme

Umeme umeendelea kuwa kero kwa wananchi kutokana na kukosekana kwa huduma hii muhimu kwa shughuli za kila siku kwa kukatika mara kwa mara kwenye maeneo mengi hapa nchini. Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mh Kanali Wilson Sakulo tarehe 13 Machi…

25 February 2024, 8:46 am

DC Ngorongoro na ziara ya kwanza

Miradi mingi ya maendeleo wilayani Ngorongoro inayotekelezwa kupitia ufadhili wa benki ya maendeleo ya Ujerumani (KFW) imegusa karibu kila sekta muhimu ikiwepo Afya,barabara pamoja na sekta ya elimu. Na mwandishi wetu. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Kanal. Wilson Sakulo leo…

15 February 2024, 12:22 am

Amuua mke wake, atokomea kusikojulikana

Matukio ya ukatili kwa wanawake hususani ya mauaji yameshamiri kwa mwezi Februari wilayani Ngorongoro ya wanaume kuwaua wake zao hili likiwa ni tukio la pili kwa mwanaume kumua mkewe ndani ya wiki moja tu. Na Edward Shao. Kijana mmoja anayejulikana…