Kitulo FM
Kitulo FM
15 November 2025, 11:44 am
Mkuu wa wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda amewataka wananchi wilayani Babati mkoani Manyara kutunza vyanzo vya maji ikiwemo kutofanya shughuli zao karibu na vyanzo hivyo. Na Mzidalfa Zaid Kaganda amesema hayo baada ya kukagua miradi ya maji ukiwemo mradi wa…
15 October 2025, 10:53 am
Na Joel Headman Tanzania kama ilivyo kwa nchi zenye mifumo ya kidemokrasia inajiandaa kwa uchaguzi mkuu tarehe 29 Oktoba 2025, unaolenga kupata madiwani,wabunge na rais, viongozi watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo. Lakini je unafahamu nini basi kuhusu Rushwa kwenye uchaguzi?
10 October 2025, 2:37 pm
Kurunzi Maalum Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa…
27 September 2025, 5:50 pm
Na Kimwaga Shaban Mashindano ya ligi kuu Daraja la kwanza Taifa ya mchezo wa Pete ambayo yanafanyika katika Mkoa wa Tabora kuanzia Jumamosi Septemba 26, 2025 katika viwanja vya shule ya Tabora wasichana (Tabora Girls). Akizungumza na UFR Mwenyekiti wa…
25 September 2025, 1:38 pm
“Kwa sababu mwisho wa siku wale ndio watakuwa mashahidi wako wa kwanza katika…. kuonyesha kwamba umiliki huu ni wa bwana X au ni wa bwana Y” Na Jolaz Joel Headman Takwimu rasmi za wizara ya ardhi, Nyumba na Maendeleo ya…
9 September 2025, 11:47 am
“Nilienda kwa ndugu zangu, majirani wao wakaona ni kitu cha kawaida sana….yaani naumia, naumia nikikaa ndani ndio hivyo naliaa najiona kabisa maisha yangu yamefika mwisho, ndoto yangu ilikuwa niwe daktari”
27 August 2025, 8:26 pm
“Ni vyema jamii ikajikita kuandaa maudhui yatakayo wasaidia kuleta maendeleo” Kufuatia matukio mbalimbali ya kusambaa kwa picha mjongeo za faragha kwenye mitandao ya kijamii,wenza wametahadharishwa juu ya tabia ya kupiga picha hizo kwani ni kinyume cha sheria ya makosa ya…
27 August 2025, 7:50 pm
“Jeshi limejipanga kuwadhibiti watakao kiuka sheria na taratibu katika kipindi cha kampeni“ Zaituni Juma Jeshi la polisi mkoa wa Tabora limejipanga kikamilifu kuhakikisha zoezi la kampeni kuelekea uchaguzi mkuu linafanyika kwa amani na utulivu. Akizungumza na UFR Kamanda wa Polisi…
11 August 2025, 1:09 pm
Mashindano hayo ni zaidi ya burudani kwani yanatoa nafasi kwa vijana kuonesha vipaji ambavyo havijaonekana kitaifa. Na Mwandishi Wetu: Mwamuzi maarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Ally Simba ameonesha kuridhishwa na kiwango cha ushindani na nidhamu ya wachezaji katika michuano…
24 July 2025, 11:34 am
‘Geita Youth Sports Tournament’ imehitimishwa kwa kuzisogeza karibu shule za sekondari 40 kutoka halmashauri ya Manispaa ya Geita kupitia michezo mbalimbali. Na: Ester Mabula Kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Minning Limited (GGML) kwa kushirikiana na halmashauri ya manispaa…