Kitulo FM

Uncategorized

September 19, 2023, 9:21 pm

Wananchi Makete waishukuru serikali kutoa pembejeo kwa wakati

Kuelekea msimu wa kupanda mazao wananchi wameendelea kujitokeza katika vituo vya pembejeo kwa ajili ya kuchukua mbolea, ikiwa ni siku chache baada ya serikali kutangaza wakulima kuhakiki taarifa zao. Na Aldo Sanga. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye vituo vya pembejeo…

February 6, 2023, 3:07 pm

Madereva wa Daladala Njombe wagoma

Madereva wa daladala #Njombe mjini, wamesitisha huduma ya usafirishaji kwa kipindi kisichojulikana baada ya madereva wa bajaji kuruhusiwa kusafirisha abiria katika maeneo yote ndani ya Halmashauri ya mji wa Njombe. Katibu Tawala wilaya ya Njombe Emmanuel George akizungumza na Madereva Daladala Njombe Wamesema kuwa…

January 29, 2023, 8:42 am

Watendaji wa Kata simamieni Wanafunzi waende Shule-Dc Sweda

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema kiwango cha wanafunzi Tarafa ya Ikuwo kuripoti shule ni hafifu Ameagiza Afisa Tarafa, watendaji wa kata kufanya msako maalumu kuhakikisha wanafunzi ambao hawajaripoti kidato cha kwanza mpaka sasa wanaripoti shule na…

January 29, 2023, 8:12 am

Tumieni Vishikwambi kwa manufaa ya Elimu- Mkurugenzi Makete

Mkurugenzi Mtendaji Halashauri ya Wilaya Makete William Makufwe amewataka walimu kutunza Vishikwambi walivyopewa na kuvitumia kwa lengo lililokusudiwa. Makufwe ametoa rai hiyo wakati wa makabidhiano ya Vishikwambi hivyo yaliyofanyika mwishoni mwa mwezi huu Januari, 2023 Ameongeza kuwa kwa yeyote atakayebainika…

January 29, 2023, 7:54 am

UWT Njombe wapanda miti Ilumaki Sekondari

Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe wamefanya Maadhimisho ya miaka 46 ya Chama cha Mapinduzi Wilayani Makete kwa kupanda miti kuzunguka eneo la shule ya Sekondari Ilumaki iliyopo Kata ya Lupalilo Wilaya ya Makete. Zoezi hilo limefanywa…