Kitulo FM

Uncategorized

January 25, 2023, 12:34 pm

Ujenzi wa Jengo la Halmashauri Makete waanza

Halmashauri ya Wilaya Makete imeanza Ujenzi wa Jengo (Ghorofa moja) ambalo mpaka kukamilika kwake itagharimu Bilioni 3 ikiwa mpaka sasa kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali imetofedha Bilioni 1 kuanza ujenzi Akieleza kuhusu mradi huo Mtaalamu kutoka Divisheni ya Ujenzi…

January 24, 2023, 7:11 am

Mwenyekiti CCM Wilaya ya Makete aipongeza Wizara ya Maji

Kamati ya Siasa Wilaya ya Makete ikiongozwa na Clement Ngajilo imeipongeza Wizara ya Maji ikiongozwa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, Katibu Mkuu Mhandisi Anthon Sanga kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Maji (Kinyika-Matamba). Mradi huo wenye thamani ya…

January 24, 2023, 7:03 am

Wananchi washangazwa na mto wa Mawe Ipelele

Wananchi wa Kijiji cha Ipelele wameiomba Serikali kuwachia suala la mto unaoporosha mawe kwa zaidi ya Miaka 7 sasa kimaajabu. Wakizungumza na Kituo hiki, wananchi wa Kijiji cha Makwaranga kilichopo Kata ya Ipelele Wilayani Makete wamesema mto huo wenye maji…

January 24, 2023, 6:55 am

Kamati ya Siasa yaagiza shule iitwe Makete Boys

Kamati ya Siasa Wilaya ya Makete (CCM) imeiagiza Serikali kuhakikisha shule ya Sekondari Makete ibadilishwe jina na kuitwa Makete Boys. Agizo hilo limetolewa na Kamati hiyo tarehe 23 Januari 2023 ikiwa katika ukaguzi wa shule hiyo pamoja na kupongeza Serikali…

January 24, 2023, 6:42 am

Zaidi ya Milioni 100 kujenga Bweni Usililo Sekondari

Serikali imetoa fedha zaidi ya Milioni 103 kupitia mfuko wa kusaidia Kaya Maskini TASAF kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wavulana wanaosoma shule ya Sekondari Usililo iliyopo Kata ya Luwumbu huku fedha inayobaki ikiwa ni nguvu kazi ya Wananchi…

January 24, 2023, 6:36 am

Ukaguzi wa Ujenzi Kituo cha Afya Bulongwa

Kamati ya Siasa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Makete ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Clement Ngajilo wamefika kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya Bulongwa wenye thamani ya Milioni 500 na kupongeza jitihada za Serikali na wananchi katika ujenzi huo…

January 24, 2023, 6:33 am

Walima barabara kwa Majembe kunusuru hali mbaya ya Usafiri

Wananchi wa Kijiji cha Unyangala wakilima barabara kwa majembe na chepe ili kuondoa kifusi kilichoziba barabara hiyo eneo la Utengule baada ya kukosa huduma ya mawasiliano tangu kipindi cha Masika mwaka uliopita. Barabara hiyo ilijifunga baada ya udongo kuporomoka na…

January 20, 2023, 7:33 pm

Akutwa mtupu Kanisani Njombe

Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe huku…