Kitulo FM

Uncategorized

October 27, 2021, 10:33 am

WANAFUNZI WAPATA VYETI

Wanafunzi 70 Kidato cha nne Iwawa Sekondari watunukiwa vyeti vya utambuzi wa ushiriki wao kwenye Club ya Wasaidizi wa Kisheria shuleni (Paralegal School Club) Wanafunzi hao kwa miaka miwili wamekuwa wakipata mafunzo kutoka kwa Wasaidizi wa Kisheria Kata ya Iwawa…

October 26, 2021, 6:47 pm

SHULE YA UONGOZI

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) Ndg.Japhari Kubechaatoa shule ya Uongozi kwa Vijana nchini Akizungumza na Kitulo FM, Kubecha amesema kijana ni mtu muhimu kwenye taifa hili husani katika uongozi kwani asilimia kubwa ya watanzania ni vijana…

October 26, 2021, 6:22 pm

IJUE SHERIA

Kwenye Kipindi cha Ijue Sheria kinachorushwa kila siku ya Jumatatu saa 2:00 Usiku mpaka saa 3:00 Usiku Mkurugenzi Mtendaji Shirika la wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya Makete (MAPAO) Mch. Denis Sinene ametupiga msasa kuhusu majukumu. (i) Kuwakilisha wananchi katika Halmashauri,…

October 23, 2021, 9:23 am

AHUKUMIWA MIAKA 8 JELA

Bw. Andrew Alfred Mbogela (29) mkazi wa Uyole jijini Mbeya amehukumiwa kwenda jela kifungo cha miaka 8 kwa kosa la wizi Ikulu ndogo Makete Mshtakiwa huyo amekutwa na hatia katika mashtaka mawili ambapo katika shitaka la kwanza ameshtakiwa kwa kosa…

October 22, 2021, 1:27 pm

WALIMU OENI

Walimu wa Kiume shule za Sekondari Wilayani Makete Mkoani Njombe wameshauriwa kuoa ili kupunguza tamaa zinazoweza kuwashawishi kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Hii ni katika kupambana na mimba kwa wanafunzi wa kike shule za Sekondari katika Wilaya ya Makete Akizungumza na…

October 18, 2021, 1:58 pm

Zao la viazi laozea Shambani

Zao la Viazi kwa wakulima wa Kata ya Kitulo Wilayani Makete huenda likaozea shambani kwa sababu ya kukosekana soko la uhakika la zao hilo Kwa mujibu wa Wakulima wa Viazi Kata ya Kitulo, wamesema wengi wao wameshindwa kuvuna viazi shambani…