Kitulo FM

Uncategorized

December 30, 2022, 6:54 am

Waandishi wa Habari wakutana Mkoani Njombe

  Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Njombe, Njombe press club NPC kimefanya mkutano mkuu mkoa humo huku agenda kuu za mkutano huo mkuu ikiwa ni Marekebisho ya katiba pamoja na kubariki uongozi wa muda ulio kuwa umechaguliwa kuendelea…

December 30, 2022, 6:39 am

Afariki Dunia kwa kusombwa na Maji Makete

  Bibi anayekadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 80 afariki kwa kusombwa na Maji kijiji cha Lupalilo Wilaya ya Makete akijaribu kuvuka mto juu ya daraja dogo katika mto Idetele unaotenganisha Kijiji cha Lupalilo na Ilevelo. Baadhi ya wanandugu wamesema…

December 29, 2022, 7:54 am

Milioni 170 kujenga Daraja Kijiji cha Makwaranga-Makete

Serikali imeanza ujenzi wa Daraja la Zege litakalounganisha Kijiji cha Ipelele na Makwaranga Kata ya Ipelele Wilaya ya Makete lenye thamani ya zaidi ya Milioni 170. Daraja hilo litawafanya wananchi wa vijiji hivyo kutumia barabara ya Ipelele-Makwaranga yenye urefu wa…

December 29, 2022, 7:45 am

Barabara ya Lami Km 36 kujengwa Makete

Barabara ya Makete-Mbeya kufunguka kwa lami Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali itaendelea na ujenzi wa barabara za lami katika mikoa ya nyanda za juu kusini ili kuunganisha vema ukanda huo na bandari ya Mtwara na hivyo kurahisisha shughuli za…

December 9, 2022, 3:00 pm

makete yapiga hatua kila sesta miaka 61 ya uhuru 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema maadhimisho  ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika ni msingi wa uhuru uliopatikana mara baada ya kutoka kwenye machungu makubwa ya utawala wa wakoloni ambao Taifa lilipitia. Ameyasema hayo leo akiwa…

December 2, 2022, 8:46 pm

Waziri wa Viwanda anena kuhusu uwekezaji wa Malengo

Dar es Salaam, Novemba 30, 2022: Jukwaa la kwanza kuwahi kutokea Tanzania la Uwekezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) limefanyika leo Jijini Dar es Salaam na limeratibiwa na UNDP na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa ushirikiano na Serikali…

November 10, 2021, 3:40 pm

Wahamiaji haramu wakamatwa Makete

Wahamiaji haramu 18 kutoka nchini Ethiopia wamekamatwa eneo la kusajanilo kata ya Iwawa wilayani Makete Mkoani Njombe John Hindi ni kamishna msaidizi mwandamizi wa uhamiaji Mkoa wa Njombe amesema wahamiaji hao walikuwa wanaelekea nchi jirani ya Malawi Aidha amewataka wananchi…

November 9, 2021, 2:17 pm

Ahukumiwa Miaka 30 Jela

Frank sanga (23) mkazi wa iniho Wilayani Makete Mkoani Njombe amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka (13) (jina limehifadhiwa) wa kijiji cha Iniho Imeelezwa kuwa mnamo tarehe 7 oktoba,2021 katika…