Keifo FM

Uncategorised

23 March 2024, 22:49

Kyela:Mitungi ya Kinanasi yafika msikiti wa tenende

Mbunge wa jimbo la Kyela amendelea kukabidhi majiko ya gesi na sukari kwa waumini wa dini ya kiislamu ambapo mara hii amekabidhi majiko hayo katika misikiti ya tenende na Ipinda. Na Masoud Maulid Waislamu wilaya ya kyela wamempongeza mbunge wa…

23 March 2024, 22:28

Kyela:Mwanjala atembelea Convenant Edible Oil

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kyela akiambatana na kamati yake ya siasa wilaya ya Kyela amekagua kiwanda kipya cha kuzarisha mafuta cha Convenant Edible Oil na kumwagia sifa lukuki mwekezaji wa kiwanda hicho. Na Nsangatii Mwakipesile Kamati ya siasa ya…

20 March 2024, 17:27

Kyela:Mwalimu atuhumiwa kubaka mwanafunzi darasa la saba

Mwalimu mmoja mkazi wa kata ya njisi hapa wilayani kyela anatuhumiwa kumbaka motto mwenye umri wa miaka 14 huku akimuahidi kumuoa na kumpa fedha za kulia shuleni. Na Nsangatii Mwakipesile Katika hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliye tambulika kwa…

20 March 2024, 11:52

Kyela:Ccm Itunge yang’ara kwa manoti ya Mwakyambile

Mkurugrnzi wa kampuni ya Convenant Edible Oil Ltd wazalishaji wa mafuta ya Kyela Cooking Oil Babylon Mwakyambile amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya itunge kushikama ili kufanikisha ujenzi wa ofisi za chama hicho. Na Nsangatii Mwakipesile Harambee ya…

20 March 2024, 11:44

Kyela:Wenye 3d Kyela sasa kukiona cha moto

Mkuu wa usalama barabarani wilayani kyela Assistant Inspecta Seif amewataka madereva ambao bado hawajatoa pleti namba za 3d kutoingiza magari yao barabarani mpaka hapo watakapotekeleza agizo hilo. Na James Mwakyembe Jeshi la polisi wilayani kyela kitengo cha usalama barabarani limesema…

18 March 2024, 13:12

Maandamano ya CHADEMA yanukia Kyela

Wanachama na makada wa CHADEMA wilaya ya Kyela wanajipanga kufanya maandamano makubwa ya amani kushinikiza serikali kuunda tume huru ya uchaguzi. Na James Mwakyembe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani Kyela kupitia katibu wake mwenezi Donald Mwaisango kimesema kinajipanga…