Kahama FM

Recent posts

April 19, 2021, 8:05 am

Babu wa miaka 53 Ambaka mjukuu wake wa miaka 7 wakati mkewe akiwa Hospitali.

WAKATI Taifa na wanaharakati mbalimbali wakiendeleza mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto, matukio ya udhalilishaji na ukatili kwa watoto yameendelea kuripotiwa mkoani Shinyanga. Ambapo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa…

April 18, 2021, 7:46 pm

Harakati za mwanamke katika kujikwamua kiuchumi.

Nchini Tanzania wanawake wako mstari wa mbele  katika kujikwamua kiuchumi na kuleta mabadiliko katika jamii inayowazunguka, hususan kuondokana na dhana ya utegemezi. Miongoni mwa wanawake hao ni bi JANETH mkazi wa Shunu  Manispaa ya Kahama  mkoani Shinyanga ni mama pia…

April 15, 2021, 4:04 pm

Vijana walionzisha kiwanda cha chaki Shinyanga walia kukosa soko.

Kikundi cha vijana 15 ambao ni wakazi wa Manispaa ya Shinyanga, walioanzisha kiwanda cha kutengeneza Chaki kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi, wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainab Telack, kuwaunga mkono kwa kutoa maagizo kwa shule zote mkoani humo zinunue…

April 9, 2021, 8:32 am

Mwandishi wa habari auwawa kwa kupigwa Risasi kichwani.

Mwandishi wa habari wa Shirika la utangazaji Kenya -KBC, Betty Barasa ameuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake ambako ni pembezoni mwa mji mkuu wa Nairobi. Wanaume wawili wenye silaha waliingia nyumbani kwa Barasa wakati alipokuwa anaendesha gari akiwa anatoka kazini…

April 6, 2021, 7:49 am

Mwanafunzi wa darasa la kwanza aliwa na mamba Ziwa Victoria.

Janeti Mganga (8) aliyekuwa anasoma darasa la kwanza shule ya msingi Busikimbili iliyoko kata ya Maisome, Halmashauri ya Buchosa, wilayani Sengerema mkoani Mwanza  ameuawa na mamba wakati akioga kwenye Ziwa Victoria huku baadhi ya viungo vya mwili wake vikiwa vimenyofolewa…