Recent posts
August 18, 2021, 8:58 pm
Ukatili wa kijinsia wapungua baada ya wananchi kuelimishwa.
Imeelezwa kuwa katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ukatili wa kijinsia umepungua baada ya wananchi kuelimishwa kupitia mikutano ya Kijiji, ikiwemo wanandoa kutelekeza familia na wanafunzi kuachishwa shule. Akizungumza na Kahama FM Afisa Tarafa ya Dakama TUMSHUKURU MDUI…
August 18, 2021, 8:51 pm
wilaya ya Kahama imeombwa kuangalia upya utaratibu katika zuio la uuzwaji wa nis…
Madiwani wa Halmashauri ya ushetu wilayani Kahama mkoani shinyanga wameiomba halmashauri hiyo kuangalia upya utaratibu katika zuio la uuzwaji wa nishati ya mafuta majumbani kutokana na kuwa na vituo vichache katika halmashauri hiyo yenye kata 20. Wakizungumza katika mkutano wa…
August 17, 2021, 4:16 pm
KAHAMA:Wakulima wa pamba waomba kupatiwa Elimu ya Kilimo Hai.
KAHAMA Wakulima wa zao la Pamba wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba kampuni ya utengenezaji wa nyuzi New Tabora Textile kuwapa elimu ya uzalishaji wa pamba usiotumia Dawa na mbolea nyingi katika uzalishaji(Kilimo hai) Ombi hili limetolewa na wakulima wa Pamba…
July 19, 2021, 2:35 pm
KAHAMA:Wafanyabiashara wakoshwa na serikali ya awamu ya Sita,Wasema kazi iendele…
KAHAMA: Wafanyabiashara MANISPAA ya Kahama Mkoani Shinyanga wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita chini ya RAIS Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu ya kufanya biashara zao kwa uhuru na kufuata taratibu za Serikali. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa Kampuni…
July 16, 2021, 7:32 pm
RC SENGATI AKUTANA NA WADAU KUPANGA MIKAKATI YA KUZUIA MAJANGA YA MOTO SHULENI…
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemoni Sengati ameongoza kikao cha wadau kujadili mikakati ya namna ya kudhibiti majanga ya moto yanayotokea katika taasisi na shule mbalimbali. Kikao hicho kimefanyika leo Ijumaa Julai 16,2021 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu…
July 15, 2021, 2:02 pm
KATAMBI:Vijana bila kuwa na Malengo na Kujitolea kwanza kutoboa ni ngumu.
KAHAMA: Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi amewataka Vijana wa Tanzania kuwa na malengo katika Maisha yao ikiwa Ni pamoja na kuanza kufanya kazi kwa kujitolea katika mashirikia na ofisi Mbalimbali. Katambi…
July 15, 2021, 12:10 pm
Miradi 6 ya maendeleo yenye thamani ya milioni 967,2 wilayani Urambo yazinduliwa…
MIRADI sita yenye thamani ya milioni 967.2 Wilayani Urambo imezinduliwa na mbio maalumu za Mwenge wa Uhuru. Kati ya miaradi hiyo Serikali kuu imechangia kiasi cha shilingi milioni 831.3 na, Halmashauri imechangia 134.9. Kiongozi wa Mbio hizo Maalumu za Mwenge…
July 15, 2021, 12:00 pm
SHULE YA SEKONDARI GEITA YAFUNGWA BAADA YA KUUNGUA MOTO MARA YA TATU.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi…
July 15, 2021, 8:41 am
Wahitimu vyuo vikuu walazimika kuolewa kutokana na kukosa ajira mtaani.
Wanawake waliohitimu vyuo vikuu nchini wamesema wanalazimika kuingia kwenye ndoa ili kujikwamua na ugumu wa maisha wanapofika mtaani baada ya kukosekana kwa ajira licha ya kuwa na elimu ya juu. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wadau mjini Njombe wakati wakitoa…
July 14, 2021, 7:54 am
KAHAMA:Mradi wa kituo cha Mafunzo ya Kilimo wa Barrick kuwanufaisha wakulima.
Mradi wa ujenzi wa kituo cha mafunzo ya kilimo na ufugaji katika kata za Mwendakulima na Mondo unaofadhiliwa na kampuni ya madini ya Barrick,mgodi wa Buzwagi, umeanza kunufaisha wakulima na iwapo watatumia ujuzi wanaopata kituoni hapo watafanikiwa zaidi kwa kuongeza…