Kahama FM

Harakati za mwanamke katika kujikwamua kiuchumi.

April 18, 2021, 7:46 pm

Nchini Tanzania wanawake wako mstari wa mbele  katika kujikwamua kiuchumi na kuleta mabadiliko katika jamii inayowazunguka, hususan kuondokana na dhana ya utegemezi.

Miongoni mwa wanawake hao ni bi JANETH mkazi wa Shunu  Manispaa ya Kahama  mkoani Shinyanga ni mama pia ni mjasiriamali anayejishughulisha na ufundi cherehani kwa  muda mrefu sasa. Mwandishi wetu CHRISTINA CHRISTIAN amemtembelea  bi JANETH na kufanya  nae mazungumzo, na hapa ungana nae.

Mazungumzo ya mwandishi wetu na bi JANETH