![](https://radiotadio.co.tz/joyfm/wp-content/themes/radiotadio/assets/img/banner/1500x300.jpg)
![](https://radiotadio.co.tz/joyfm/wp-content/uploads/sites/39/2023/07/img-20230703-wa0002-150x150.jpg)
June 28, 2024, 4:51 pm
Ili kupunguza vitendo vya kikatili vinavyoendelea nchini, wazazi mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao na kuwapa malezi bora yatayowakinga na ukatili unaofanyika katika familia na mitandao. Na Angel Munuo Wazazi na walezi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao…
27 June 2024, 2:21 pm
Sakata la mgomo kwa wafanyabiasha lililoanzia soko la kariakoo jijini Dar es salaam limeendelea kuchukua sura mpya katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Na: Evance Mlyakado – Geita Wafanyabiashara wa Mamlaka ya mji mdogo wa Katoro mkoani Geita jana Juni 26,…
June 18, 2024, 7:25 pm
Katika kukomesha vitendo vya ukatili kwa watoto mkoani Manyara jamii yatakiwa kuwapa elimu watoto wao kwakua kufanya hivyo kutawasaidia watoto hao kupambanana na kila aina ya ukatili. Na Marino Kawishe Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Babati imetoa…
June 15, 2024, 5:09 pm
Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika Juni 16, 2024, binti wa miaka 15 mkoani Manyara amepigwa na mwajiri wake wakishirikiana na baba mwenye nyumba maeneo mbalimbali ya mwili ikiwemo kichwani na miguuni kwa kutumia kisu, nondo na…
15 June 2024, 3:17 pm
Kumekuwa na pengo kubwa la elimu kuhusu majukumu ya baadhi ya taasisi na wanufaika wa huduma za taasisi hizo ambapo Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji EWURA CCC mkoa wa Kagera limebuni mkakati wa kusambaza…
12 June 2024, 9:45 am
Mara nyingi migogoro midogo midogo ya ardhi isiposhughulikiwa kikamilifu na dalili zake kupuuzwa hugeuka kuwa migogoro mikubwa jambo lililopelekea Halmashauri ya manispaa ya Iringa kuanzisha kliniki ya ardhi kwa wakazi wake. Na Adelphina Kutika Wananchi wa kata ya Nduli Halmshauri…
5 June 2024, 12:22 pm
Migogoro ya ardhi imetajwa kuwa sababu ya Wananchi Wilaya ya Iringa kutokuwa na maelewano. Na Adelphina Kutika Wananchi wa Tarafa za Idodi na Tarafa ya Kiponzero iliyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameiomba Serikali kutatua changamoto ya Mgogoro…
27 May 2024, 20:20
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama Cha mapinduzi CCM Taifa Mnec, Ndele Mwaselela amesema kuwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anajivunia vijana kuwa ndio nguvu kazi ya Taifa. Na Lukia Chasanika Mnec Mwaselela ameyasema hayo akiwa mgeni rasmi katika mahafari ya…
24 May 2024, 1:15 pm
Baadhi ya Wadau walioshiriki Warsha hiyo akiwemo Mebo Kanyabua Kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero,Saleh Shebe Afisa Usimamizi wa Mazingira kutoka Wilaya ya Kilosa na Irene Mushi kutoka TCRS Mkoa wa Morogoro wameshukuru kwa Warsha hiyo ambayo imewajengea uwezo wa Kushirikiana…
22 May 2024, 7:08 pm
Wazazi kutofatilia maendeleo ya watoto shuleni , utoro na ukosefu wa chakula shuleni chanzo cha wanafunzi wengi kufeli mtihani wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda chini ya mkuu wa wilaya dkt Vicent Naano imewasilisha utekelezaji wa ilani ya …