Joy FM

miundombinu

8 July 2025, 16:18

Mabingwa wa ligi Burundi kuweka kambi Afrika Kusini

Timu ya Aigles Noirs CS kutoka Mkoa wa Makamba imeelekea Afrika Kusinini kwa ajili ya kambi ya kujianda na msimu wa mpya wa mwaka 2025/ 2026 Na Bukuru Daniel Timu ya Aigles Noirs CS kutoka mkoa wa Makamba imeondoka Jumanne,…

8 July 2025, 13:10

Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi Kasulu

Watumishi wa umma Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kuhakikisha wanafikisha huduma bora kwa wananchi. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simoni Sirro amewataka watumishi Wilayani Kasulu kufanya kazi Kwa weledi ili kufanikisha…

4 July 2025, 16:05

CRS yatoa elimu ya kubadili taka kuwa fursa

Kubadili taka kuwa fursa ni mchakato wa ubunifu unaohusisha matumizi ya maarifa, teknolojia na ujasiriamali ili kutumia taka kama rasilimali yenye thamani badala ya kuona taka kama uchafu. Na Josephine Kiravu Zaidi ya wafanyabiashara 250 na wadau mbalimbali wa mazingira…

24 June 2025, 11:30

Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto dhidi ya ukatili

Na Samwel Mpogole Wazazi na walezi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao hasa katika kipindi hiki ambacho shule zimefungwa, ili kuwalinda dhidi ya vitendo vya ukatili vinavyoweza kuwakumba wakiwa majumbani au mitaani. Wito huo umetolewa na Afisa kutoka Ofisi ya…

19 June 2025, 18:53 pm

Familia inavyochangia ukuaji wa viongozi wanawake

“Mabadiliko makubwa yameanza kujitokeza ambapo wanawake wameanza kushika nafasi muhimu za uongozi katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi na hata uongozi katika taasisi za dini.” Na Mwanahamisi Chikambu Katika historia ya jamii nyingi duniani, mwanamke ameonekana kuwa nyuma katika masuala…

19 June 2025, 12:18

Jamii Mbeya yatakiwa kuacha ukatili dhidi ya watoto

Wazazi waonywa kuacha tabia ya kuwaachia watoto wao mikononi mwa wafanyakazi wa ndani bila uangalizi, hali inayochochea ukatili dhidi ya watoto Na Samwel Mpogole Jamii imetakiwa kuacha vitendo vya ukatili dhidi ya watoto ili kuwawezesha kutimiza ndoto na malengo yao…

June 18, 2025, 5:25 pm

Soko la kisasa Arusha tumaini jipya kwa wafanyabiashara

“Mipango ya ujenzi na miradi inayoendelea hii Makonda hakujanayo ni miradi ilikuwepo ili soko lilipaswa kujengwa na pesa ilitolewa toka 2021 shilingi millioni 500 pesa zimekaa kwenye akaunti”. Na Mariam Mallya Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameongoza mamia…