Joy FM
Joy FM
14 June 2025, 4:29 pm
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Alfred Mtambi na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda Charles Manumbu,Piacha na Thomas Masalu Ameitaka Halmashauri hiyo kuongeza vyanzo vya ndani vya mapato na kufanya upembuzi yakinifu katika shughuli za uchimbaji madini…
14 June 2025, 10:08
Serikali imesisitiza wananchi kutumia vyandarua kwa matumizi yaliyokusudiwa ili waweze kujikinga na ugonjwa wa Malaria Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kuhakikisha vinafuatilia na kubaini wananchi wanaouza…
13 June 2025, 17:03
Serikali kuendelea kuboresha sera na sheria kuhusu watu wenye ualbino nchini. Na Kadislaus Ezekiel Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mahususi kuboresha mifumo ya Kisera na sheria katika kuboresha huduma…
13 June 2025, 4:07 am
Mhe. Mtambi ameipongeza Halmashauri hiyo kwa kupata hati safi na kuwa na hoja chache za ukaguzi ukilinganisha na Halmashauri nyingine za Mkoa wa Mara ambazo zinahoja nyingi. Na Thomas Masalu Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Alfred Mtambi leo…
11 June 2025, 2:05 pm
Wafanyabiashara waangua kilio wakidai kupoteza mamilioni ya pesa baada ya maduka yao kuteketea kwa moto usiku. Na Mrisho Sadick: Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeteketeza maduka 17 pamoja na stoo zake usiku wa june 10,2025 katika Kata ya Buseresere…
11 June 2025, 11:27 am
Kiasi cha shilingi bilion 5.71 kimetolewa na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa kata ya Bunda stoo katika kipindi cha miaka mitano yaani 2021 na 2025. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi bilion tano milioni miasaba…
June 10, 2025, 3:10 pm
Mkuu wa wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera amewataka wakazi wilayani humo kudumisha usafi ikiwemo kuacha kutupa taka hovyo ili kuepusha magonjwa. Na. Elisa kapaya Mkuu wa wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera Bi.Zaitun Msofe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wilayani…
8 June 2025, 7:12 pm
Alikuwa analinda mazao yake yasiliwe na tembo na ndiyo kawaida yetu maana bila kulinda huwezi kuvuna chochote. Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Kinyunyi Nyakile mkazi wa mtaa wa Ichamu kata ya Kunzugu Halmashauri ya mji wa…
6 June 2025, 7:32 pm
Watu zaidi ya laki moja wakitalajiwa kuudhulia katika kongamano hilo Na Thomas Masalu Chama cha Wafugaji Tanzania kimetangaza kufanyika kwa kongamano maalum la siku mbili litakalofanyika tarehe 15 na 16 Juni mwaka huu, katika viwanja vya nane nane , Nyakabindi…
5 June 2025, 3:35 pm
Mwalimu wa Malezi amesema kuwa msaada huo utasaidia kuinua mahudhurio na morali ya kitaaluma kwa wanafunzi wa kike. Na Taro Michael Mujora Katika kuunga mkono jitihada za kuinua elimu ya mtoto wa kike, Kanisa la PAGT Balili kwa kushirikiana na…