Joy FM
Joy FM
1 July 2025, 3:27 pm
Tuzo za World Travel Awards,hushirikisha makundi mbalimbali katika sekta ya utalii, ikiwa ni pamoja na hoteli, viwanja vya ndege, mashirika ya ndege, vivutio vya kitalii, waandaaji wa matukio na tamasha, na huduma nyingine zinazohusiana na usafiri na ukarimu. Na Mary…
30 June 2025, 12:25 pm
Bulaya amesema ameamua kurejea nyumbani baada ya kutafakari kwa kina, akieleza kuwa alihamia CHADEMA kwa kile alichokiita “mkopo wa kisiasa.” Na Adelinus Banenwa Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Esther Bulaya, amerejea rasmi…
28 June 2025, 10:08 am
27 June 2025, 9:50 am
“kikao hicho siyo kampeni badala yake ni kumshukuru kiongozi huyo kwa yale aliyoyafanya” Na Adelinus Banenwa Baraza la wazee wa chama cha mapinduzi kata ya Nyasura Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamemkabidhi fedha kiasi cha shilingi elfu hamsini…
26 June 2025, 16:12
Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini, inayomzuia mtu kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake tofauti na watu wengine lakini watu wenye ulemavu wakiwekewa mazingira rafiki kulingana na hitilafu zao wanaweza kutimiza majukumu yao kama…
24 June 2025, 15:52
Serikali na wadau wa maendeleo wameendelea kuwahimiza vijana kuwa wabunifu ili waweze kujiajiri kupitia bunifu mbalimbali. Na Hagai Ruyagila Wahitimu wa mafunzo ya ushonaji wa vazi maalumu la kulinia asali na teknolojia ya umeme jua katika chuo cha Veta Kasulu…
23 June 2025, 5:59 pm
Kwa baadhi ya jamii, wajane hulaumiwa kwa vifo vya waume zao, hutengwa kijamii, na mara nyingine hata kunyimwa urithi au mali walizochuma pamoja. Na Adelinus Banenwa Kila mwaka ifikapo tarehe 23 Juni, dunia huadhimisha Siku ya Wajane Duniani (International Widows…
23 June 2025, 13:20
Halamshauri ya Wilaya ya Kasulu imekabidhi hundi ya zaidi ya shilingi milioni 800 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu na nne ya January hadi june 2024/2025. Akiwakabidhi hundi hiyo mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mbunge…
19 June 2025, 3:14 pm
“Maonyesho haya yamelenga kuitangaza Zanzibar na Tanzania kama kivutio kikuu cha utalii barani Afrika Lengo likiwa ni kuyafanya maonyesho hayo kuwa ya kiwango cha juu” Na Mary Julius Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mudrick Ramadhan Soraga amesema…
16 June 2025, 8:24 pm
“Lengo kubwa ni kumlinda mtoto aweze kutimiza ndoto zake,tunataka kila mtoto asome“ Na Katalina Liombechi Wazazi na Jamii Wilayani Kilombero wametakiwa kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili watoto kama vitendo vya ukatili na wazazi kutoa ushirikiano katika malezi na lishe ili waweze…