Joy FM

kuku

26 September 2024, 4:01 pm

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii

Kipindi cha Lishe Bora Afya Bora kwa mara ya kwanza kimeruka siku ya Jumanne tarehe 24.09.2024 saa 1 na dakika 30 kupitia Orkonerei FM Radio 94.3. Na Baraka Ole Maika. Kipindi hiki kwa mfumo wa maigizo kimewezeshwa na Shirika la…

18 September 2024, 12:03 pm

Katavi walaumu wanaoficha vitendo vya ukatili wa kijinsia

“Vitendo vya ukatili wa kijinsia havifai na vinapaswa kukemewa kwani vinazidi kukithiri na kuleta athari kubwa haswa kwa watoto  na wanawake.“ Na Lazaro Maduhu-Katavi Baadhi ya wananchi manispaa ya  Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali  iweke juhudi ya ufutiliaji wa masuala…

10 September 2024, 5:50 pm

Mwanafunzi adakwa na polisi jamii akiiba simu chuoni Sengerema

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Sengerema (FDC) ni miongoni mwa vyuo vikongwe nchini vya maendeleo ya wananchi na kimekuwa kikipokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Na:Emmanuel Twimanye Mwanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya Wananachi Sengerema (FDC) kilichopo wilayani Sengerema mkoani…

5 September 2024, 12:08 am

TMO Bunda: “Lazima tutoe lugha nzuri kwa wateja wetu”

Kaimu mganga mkuu halmashauri ya mji wa Bunda (TMO), Dr Yusuph Steven Wambura amewasisitiza watumishi idara ya afya kuhakikisha wanatoa lugha nzuri kwa wateja wanapofika kupata huduma Amesema amekwisha ongea na watumishi na kuwaelekeza kuwa ” sasa hivi sio zamani…

1 September 2024, 6:11 pm

Takukuru Simiyu  ilivyorejesha  Furaha  ya  Wananchi  Wilayani  Itilima

Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa  Takukuru  Mkoa  wa Simiyu imefanikiwa  kurejesha  furaha  ya Wananchi  wa  Wilaya  Itilima  baada  ya   kufuatilia   Mradi  wa  Maji   katika  kijiji  cha  Ng’wang’wita  uliotoa  Huduma  ya  Maji  kwa  Mwezi  mmoja  tu …

2 August 2024, 7:32 pm

Wanaume wapigwa marufuku kunyonya maziwa ya wake zao

Ni marufuku wanaume kunyonya maziwa ya wake zao badala yake akina mama watumie maziwa hayo kuwanyonyesha watoto wao. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya akina mama sabini chini ya mpango wa Compassion wameadhimisha siku ya Unyonyeshaji Mjini Bunda. Wanawake hao kutoka…

30 July 2024, 18:40

Viongozi watakiwa kuhimiza michezo kuchochea ajira kwa vijana

Michezo ni afya na ndiyo sababu wataalam wa afya wamekuwa wakihimizwa ufanyaji wa mazoezi kwani husaidia kujiepusha na magonjwa yasiyoambukizwa. Na Hobokela Lwinga, Mbeya Viongozi mbalimbali wametakiwa kulipa kipaumbele suala la michezo kwenye maeneo yao hali itakayoimarisha ushirikiano katika kuchochea…