Joy FM

Kifo

27 September 2024, 8:47 pm

Serukamba: Jitokezeni kujiandikisha daftari la wapiga kura

Na Hafidh Ally Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi  kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura  Kuelekea  uchanguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwezi November mwaka  huu. Akizungumza na waandishi wa habari ofsini kwake Mkuu wa Mkoa wa…

27 September 2024, 12:02 pm

NCAA yakutana na viongozi Ngorongoro

Ni katika hatua za kuendelea kuhakikisha kuwa kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya, viongozi wa serikali, siasa na viongozi wa kimila wanashirikiana na kuwa na mahusiano mazuri kwa lengo la uhifadhi endelevu pamoja na…

25 September 2024, 14:03

Auwawa na watu wasiojulikana, mwili watupwa korongoni

Wananchi wa mtaa wa Gezaulole Manispaa ya Kigoma Ujiji wameliomba jeshi la polisi kuendelea kufanya doria na kuwadhibiti watu wanaojihusisha na uhalifu kwenye jamii hasa wizi na ukabaji. Na Josephine Kiravu Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina maarufu Maneno Bufa mkazi…

17 September 2024, 10:32 am

Wilaya ya Kilolo mguu sawa kwa uchaguzi serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unahusisha kuchagua viongozi kwenye nafasi za Mwenyekiti wa Kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (Mchanganyiko) na Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (Kundi la Wanawake). Na Hafidh Ally Kuelekea uchaguzi wa serikali za…

22 August 2024, 9:02 am

Katavi: Maboresho ya barabara wananchi wataka zikamilike kwa wakati

picha na mtandao “Wananchi wanatakiwa kutunza miundombinu ya barabara inayoboresha“ Na Lilian Vicent-Katavi Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni kuhusiana na maboresho ya barabara yanayoendelea kufanywa na TARURA Wakizungumza na Mpanda radio FM wamesema kuwa…

24 July 2024, 1:04 pm

CCM Missenyi yakemea utekaji wa watoto, yaitisha maombi

Kila mwaka wa uchaguzi kumekuwa na ongezeko la vitendo vya uhalifu ikiwemo mauaji ya makundi mbalimbali ya watu hali inayohusisishwa na ushirikina unaoaminika kufanywa na baadhi ya watu wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi. Hali hii huamsha ari…

13 July 2024, 8:36 am

Wachungaji wapiga ramli, washirikina waonywa Kagera

Baadhi ya viongozi wa dini nchini ni miongoni mwa kundi la wahalifu wanaokamatwa katika maeneo mbalimbali kutokana na chunguzi zinazofanywa na jeshi la polisi. Miongoni mwa viongozi hao ni baadhi ya walimu wa madrasa wanaokamatwa wakituhumiwa kwa makosa ya ulawiti…

21 June 2024, 2:47 pm

Bunda Stoo sasa wapata soko lao

“Tumekuwa tukipata tabu sana kutembea umbali mrefu kufuata mboga sokoni hadi manjebe zaidi ya kilometa saba sasa uwepo wa soko hapa ni mkombozi kwetu” wakazi wa Bunda stoo. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa kata ya Bunda stoo waishukuru serikalai kwa…

28 May 2024, 10:16 pm

FM Manyara yagawa taulo za kike kwa wafungwa, wanafunzi

Leo ikiwa ni Siku ya Hedhi Salama duniani mabinti na wanawake wote kwa ujumla wametakiwa kujihifadhi kwakutumia taulo za kike, FM Manyara radio imetembelea na kugawa taulo za kike kwa wanafunzi pamoja na wafungwa wanawake wilayani Babati mkoani Manyara na…