Joy FM
Joy FM
7 July 2025, 7:42 pm
Chama cha wananchi CUF ni miongoni mwa chama cha siasa ambacho kitashiriki uchaguzi mkuu Taifa ambao unatarajiwa kufanyika October 2025 ambapo viongozi wa chama hicho wamewataka wanachama wao pamoja na wananchi kwa ujumla kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi huo kwa…
7 July 2025, 12:19
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Wesern Tanganyika amewataka wachungaji kuwatumikia kwa upendo. Na Hagai Ruyagila Wachungaji na viongozi wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Western Tanganyika (DWT), wametakiwa kuachana na roho ya chuki na migawanyiko miongoni mwao, badala…
4 July 2025, 10:52 pm
Wananchi na wawekezaji wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo wilayani Kilosa, ikiwemo kilimo, utalii na viwanda, ili kuchochea uchumi na maendeleo ya Taifa. Na Beatrice Majaliwa Wananchi ndani na nje ya Wilaya ya Kilosa wametakiwa kutumia kikamilifu fursa zilizopo…
3 July 2025, 16:06
Ili kupandisha ufaulu kwa wanafunzi, Walimu na Maafisa elimu wameshauri kuffuatilia nakufanya tathimini kwa wanafunzi waliofanya vibaya mitihani yao. Na Emmanuel Kamangu Maafisa elimu kata na walimu wakuu wa shule za msingi Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametakiwa kufanya tathmini…
2 July 2025, 16:43
Mwanaume mmoja amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kike mwenye miaka sita. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Chuachua amethibitisha mtu mmoja kufungwa kifungo cha maisha jera baada ya kukutwa…
2 July 2025, 16:01
Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kuzingatia matumizi na utunzaji bora wa fedha. Na Mwandishi wetu Uvinza Wakulima Mkoani Kigoma wametakiwa kuachana na utamaduni wa kuhifadhi fedha ndani na badala yake kutumia huduma za kibenki ili…
30 June 2025, 14:37
Jamii imeshauriwa kuzingatia suala la utunzaji wa mazingira ili kuhakikisha maeneo yao yanakuwa safi na kudhibiti magonjwa ya mlipuko. Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji wa Kasulu imezindua rasmi programu ya usafi wa mazingira kwa lengo la kuhamasisha jamii kuwa…
27 June 2025, 4:53 pm
Afisa Afya na Mazingira Hussein Kateranya akiwa katika studio za uvinzafm redio akitoa elimu juu ya kufanya usafi wa mazingira.Picha na Ezra Meshack. “Utaratibu wa kufanya usafi ni jukumu la kila mtu katika kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama ili…
26 June 2025, 16:12
Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini, inayomzuia mtu kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake tofauti na watu wengine lakini watu wenye ulemavu wakiwekewa mazingira rafiki kulingana na hitilafu zao wanaweza kutimiza majukumu yao kama…
25 June 2025, 12:08
Elimu haina mwisho kauli hiyo inathibitisha kuwa elimu haichagui umri wa mtu,bali elimu ni msingi wa maendeleo kwa mtu na taifa. Na Hobokela Lwinga Kaimu Katibu Mkuu kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi mch.Nsevilwe Msyaliha Ameitaka Jamii hasa…