Joy FM

Afya

5 June 2024, 13:32

Wananchi watakiwa kuzingatia usafi wa mazingira

Serikali wilayani kasulu mkoani kigoma imesema haitawafumbia wananchi na taaisisi ambazo hazizingatii usafi wa mazingira ili kuhakikisha magonjwa ya mlipuko yanadhibitiwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Wametakiwa desturi ya kufanya usafi wa mazingira…

3 June 2024, 5:41 pm

Mwakilishi atekeleza ilani kwa vitendo Chumbuni

Na Mary Julius Wakazi wa shehia  mwembe makumbi kwa muda mrefu wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika shehia hiyo hali iliyo sababisha mwakilishi wa jimbo la chumbuni kuwachimbia kisima katika eneo lao. Mwakilishi wa Jimbo…

31 May 2024, 4:21 pm

Mwakilishi Chumbuni atimiza ahadi

Na Mary Julius. Shilingi milioni nane zinatarajia kutumika katika ujenzi wa mtaro wa maji machafu katika shahia ya Mwembe makumbi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi wa mtaro ambao umekatika na kusababisha mvua ikinyesha maji machafu kuingia katika…

30 May 2024, 1:43 pm

Waziri Jafo :Katavi tunzeni mazingira

picha na Site tv “uharibifu wa mazingira unaleta athari hasa ya mabadiliko ya tabianchi jamii inapaswa kuyatunza mazingira“ Na Betord Chove -Katavi Waziri wa Nchi (Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Saidi Jafo Amewaagiza wakuu wa Mikoa nchini  kutekeleza mpango wa kuhamia…

30 May 2024, 10:36 am

Misitu 30 kuboresha biashara ya Kaboni Katavi

Mkuu wa mkoa wa Katavi akiwa wilayani Tanganyika .picha na site tv “Halmashauri zote mkoani katavi zinapaswa kutunza mazingira ili kunufaika na biashara ya hewa ukaa na kukuwa kiuchumi“ Na Betold Chove- Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko…

28 May 2024, 5:24 pm

Bilion tisa zinatarajia kusogeza huduma za kimahakama Pemba

Ujenzi wa kituo Cha kituo Jumuishu Cha Utoaji haki Kisiwani Pemba unajengwa kwa mkopo nafuu kutoka benki ya dunia na unatarajiwa kugahrimu zaidi ya shilingi bilioni tisa hadi kukamilika kwake, huku mkandarasi akitakiwa kuukabidhi Feb. 23 mwakani. Na Is-haka Mohammed.…

27 May 2024, 09:29

Zaidi ya watoto elfu 10 wadumaa Kibondo

Serikali wilayani kibondo mkoani kigoma imesema itaendelea kutumia siku ya afya na lishe ya kijiji kutoa elimu ya namna ya kuanda lishe bora kwa wananchi ili waweze kufahamu namna ya kukabiliana na lishe duni kwa watoto ambao wameonekana kuwa na…

23 May 2024, 19:08

Kyela: Wananchi Kilombero waamua kujenga ofisi ya mwalimu mkuu

Wananchi wamesema wameanza kuchangishana fedha ili kuhakikisha wanafanikisha ujenzi wa ofisi ya mwalim mkuu katika shule ya msingi kilombero kata ya Mababu hapa wilayani Kyela. Baada ya Halmashauri ya Wilaya ya kyela kukusudia kusaidia fedha za kukamilisha ujenzi wa vyumba…

23 May 2024, 12:27 pm

TCCIA yaiomba TRA kuwapunguzia wafanyabiashara kodi

Licha ya wafanyabiashara kufanya kazi zao kwa mazignira rafiki Bado kumekuwa na changamoto ya kukadiriwa Kodi kubwa. Na Joyce Buganda Wafanyabiashara mkoani Iringa  wameilalamikia mamlaka ya mapato Tanzania  TRA kuwatoza  kodi kubwa hasa wanaposafirisha bidhaa zao kutoka mikoa ya jirani.…