Jamii FM
Jamii FM
10 October 2025, 6:43 am
“Lengo ni kuwapenda watoto na kuwajali katika Bwana” Na John Benjamin Jamii mkoani Katavi imesisitizwa kutambua haki za watoto na kuhakikisha kuwa wanalelewa katika mazingira salama yenye heshima na upendo Hayo yamebainishwa na mrakibu na Afisa wa jeshi la polisi…
7 October 2025, 4:14 pm
“Wazee wa Uvinza wengi hawana bima za msamaha hivyo kupata changamoto ya matibabu wanapopata maradhi nipe ridhaa ya kuwa diwani” Na Dunia Stephano Mgombea udiwani kata ya Uvinza kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Nillis Ntabaye amesema endapo atapewa…
3 October 2025, 9:56 am
Wazee 300 na wajane 334 wa Ifakara wamepatiwa kadi za bima ya afya ya CHF ili kuboresha huduma za afya. Mkuu wa wilaya ameagiza maboresho ya huduma kwa wazee na kuwataka wawezeshwe mikopo ya asilimia 10. Na; Isidory Mtunda Wazee…
2 October 2025, 5:27 pm
Judith Mbukwa mkuu wa dawati la jinsia na watoto Katavi. Picha na Roda Elias “Ripotini vitendo vya ukatili ili jamii iwe salama” Na Roda Elias Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana na dhana ya kuogopa vituo vya polisi hususani dawati la…
1 October 2025, 11:40 am
“Nitahakikisha naishauri serikali kurekebisha sheria na sera rafiki za uwekezaji ili vijana wanaosoma wapate ajira rasmi.” Eliya Mahwa Na. Theresia Damasi Mgombea wa ubunge jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA BW. Eliya Mahwa…
29 September 2025, 11:42 pm
“Nina uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali ambazo zinawakabili wananchi wa kata ya uvinza nipeni ridhaa ya kuwa diwani wenu tukafanye kazi kwa maslahi ya Wanauvinza” Na Theresia Damasi Mgombea udiwani wa Kata ya Uvinza kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Himidi…
September 11, 2025, 4:47 pm
Ni ya utoro, wizi na uharibifu Na Asteria Kibiki Watoto wanaojihusisha na vitendo vya kuokota vyuma chakavu katika kata ya Ichenjezya, wilayani Mbozi mkoani Songwe wanatuhumiwa kuongoza kwa utoro shuleni na kujifunza tabia za wizi na uharibifu. Pamoja na kutoroka…
15 August 2025, 5:34 pm
Upungufu wa maeneo ya shughuli za kibinadamu kama kilimo imekuwa sababu ya kuongezeka kwa matukio ya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuvamia maeneo ya hifadhi. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa kitongoji cha CCM kijiji cha Lwamgasa wilaya ya Geita mkoani…
4 August 2025, 6:44 pm
Kujiasajili na kupata kitambulisho cha kufanyia biashara husaidia kutambulika na kufanya biashara kwa uhuru. Na Joyce Buganda Wafanyabiashara ndogondogo Mkoa wa Iringa wamepata elimu kuhusiana na utambuzi na usajili wa biashara ili wawe na uelewa kuhusu shughuli wanazozifanya. Akizungumza na…
12 July 2025, 5:01 pm
Kutimuliwa kwa madereva wa mizigo eneo lao la kupaki Shilabela Manispaa ya Geita lachukua sura mpya Na Kale Chongela: Madereva wa magari ya mzigo yanayopaki pembezoni mwa barabara katika Mtaa wa Shilabela Kata ya Buhalahala Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamepinga kauli…