Jamii FM

Kilimo

22 June 2024, 9:56 am

Wapeni watoto haki zao

Kutokana na matukio ya ukatili kuongeza wazazi na walezi wengi wamekuwa wakiwazuia watoto wao kucheza ama kuwapa muda mchache wa kucheza. Na mwandishi wetu. Wazazi na walezi wilayani panagani wametakiwa kuwapa uhuru watoto wao ikiwemo uhuru wa kucheza na kusikilizwa.…

17 June 2024, 9:20 am

DC Kilakala: Mzee anayetongoza wavulana akamatwe

Matukio ya ulawiti kwa watoto wa kiume yamekuwa yakitajwa kuongezeka na yakitajwa kutekelezwa na watu wakubwa, huku vijana wakijifunza kutoka kwa wakubwa. Na Hamisi Makungu Vyombo vya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga vimeagizwa kumkamata Mzee mmoja anayetuhumiwa…

10 June 2024, 9:51 pm

Talaka sababu ya ulawiti kwa watoto Pangani

Matukio ya ukatili ikiwemo ulawiti, inatajwa kuendelea kutokea ingawa jitihada za wadau zikifanyika dhidi ya matukio hayo huku utelekezaji familia, ushirikina na wazazi kutengana zikitajwa kuwa ni sababu. Na Cosmas Clement Shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA) lililopo wilayani Pangani…

5 June 2024, 11:29 am

TCRA Kanda ya Ziwa yawapiga msasa waandishi wa habari Geita

TCRA kanda ya ziwa imeendelea kutembelea mikoa ya ukanda huo na kutoa elimu kwa waandishi wa habari kuendelea kuzingatia miiko ya habari na weledi katika kutoa taarifa. Na: Kale Chongela – Geita Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imewataka waandishi wa…

1 June 2024, 07:15

Mbeya Dc kinara uzalishaji zao la Pareto nchini

Pareto ni zao la biashara linalotumika kutengenezea viuatilifu mbalimbali vya kuua wadudu wanao tambaa na kuruka. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa wilaya ya Mbeya mhe.Beno Malisa amesema mnunuzi yeyote ambaye atakiuka miongozo katika katika kununua zao la pareto atachukuliwa sheria…

21 May 2024, 7:49 pm

Moto wazuka na kuteketeza vitanda, magodoro Sengerema

Matukio ya moto  yameendelea kushika kasi katika Kata ya Tabaruka ambapo kwa siku za hivi karibuni bweni la wanafunzi wa kike shule ya sekondari Tamabu liliteketea kwa moto mara mbili huku chanzo cha tukio hilo kikiwa hakijafahamika mpaka sasa. Na:…