Jamii FM

Kilimo

5 December 2025, 5:45 pm

‘Madhila ya ukatili kwa wanawake Mwaloni’

Na Hamisi Makungu. Kipindi cha Sauti ya Mwanamke kimeangazia Mabadiliko ya tabianchi yanavyopelekea ukatili wa kijinsia, hasa kwa wanawake waliopo kwenye mnyororo wa uchumi wa buluu. Katika Mjadala kupitia kipindi hiki, wanawake wachuuzi wa Samaki wamepaza sauti zao juu ya…

October 14, 2025, 2:54 pm

Makalla awasihi vijana kuepuka mihemko ya mitandaoni

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Amos Makalla, amewataka vijana nchini kuendelea kudumisha amani na utulivu kabla na baada ya uchaguzi, na kuacha kuendeshwa na mihemko ya mitandao ya kijamii inayohamasisha maandamano. Na Jenipha Lazaro Akizungumza na wazee wa Mkoa…

2 October 2025, 6:09 pm

Wazee Missenyi waiomba serikali kuwalipia vipimo na matibabu

Imekuwa desturi kwa wazee kote nchini kulalamikia uduni wa huduma za afya kila inapofika Oktoba mosi na kuiomba serikali kuwapa unafuu wa maisha kwa kuwapatia penseheni na matibabu bila malipo. Na Respicius John, Missenyi, Kagera Wazee wilayani Missenyi mkoani Kagera…

11 September 2025, 7:56 pm

Ahukumiwa kifo kwa kubaka, kuua mwanafunzi

Ushahidi uliotolewa na Jamhuri ulithibitisha bila kuacha shaka. Na Kuruthumu Mkata Mahakama kuu iliyoketi Ifakara Kilombero imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Elopi Kibolile Mwasuku (33) mkazi wa Kata ya Mchombe Halmashauri ya Mlimba baada ya kupatikana na hatia ya…

1 September 2025, 4:18 pm

Mkungunero na fursa za uwekezaji kufuga wanyamapori

Wawekezaji  mkoani Manyara wanaohitaji kufuga wanyamapori na kuwapa fursa wananchi kuona wanyama katika maeneo yao, wametakiwa kuwasiliana na uongozi wa  pori la akiba Mkungunero ili kupewa utaratibu wa kufuga wanyama hao. Na Mzidalfa Zaid Hayo yameelezewa leo na afisa Utalii…

19 July 2025, 9:35 am

Ajali yaua watatu Iringa

Uzembe wa Madereva na kutofuata alama za usalama barabarani imetajwa kuwa sababu za ajali barabarani. Na Hafidh Ally Watu watatu wamefariki Dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika Kijiji cha Imalutwa, Kata ya Lugalo, wilayani…

17 July 2025, 9:41 pm

Mwalimu ahukumiwa miaka 30 kwa ubakaji

Awali imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti kuanzia tarehe 16 Julai 2024 ambapo alifanya vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanafunzi watano wa kike na mmoja wa kiume, wote wenye umri kati ya miaka 14 na…