Jamii FM

Miundombinu

27 April 2024, 15:51 pm

TAKUKURU yaokoa Milioni 77.1 sekta ya Elimu Mtwara

Kwa upande wa uimarishaji umma ,tumeimarisha klabu za wapinga rushwa 70 zilizopo katika shule za Msingi, Sekondari na Vyuo ,Mikutano ya hadhara 68,Semina 37, maonesho 11 na utoaji wa Habari 3. Na Musa Mtepa Taasisi ya kuzuia na kupambana na…

16 April 2024, 13:03 pm

Wananchi Mangamba Chini walia na ubovu wa barabara

Barabara hiyo hivi sasa imekuwa Mbovu kupitiliza ukilinganisha na kipindi cha nyuma ambacho Gari zinazobeba Watoto kuwapeleka shuleni zilikuwa zinapita bila mashaka lakini kwa hivi sasa imekuwa tofauti Na Grace Hamisi Wananchi wa mtaa wa Mangamba Chini Manispaa ya Mtwara…

25 March 2024, 17:26 pm

TPA yaiomba serikali Bandari ya Mtwara kuunganishwa na Reli

Changamoto zinazoikabili Bandari ya Mtwara ni kutokuunganishwa na miundombinu ya Reli pamoja na Barabara ya Mtwara –Dar es Salaam kutokuwa vizuri kuwezesha Bandari hiyo kuunganishwa na miundombinu  hiyo. Na Musa Mtepa Naibu mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari…

12 February 2024, 15:07 pm

Umuhimu wa kutunza mazingira kwa kutumia upandaji maua-Kipindi

Kipindi cha Mazingira ambacho amesikika kijana Nelson Everisty mkazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambae amekuwa akizalisha maua katika Eneo hilo huku akielezea namna yanavyoweza kutunza Mazingira ya Nyumbani na mengine hutumika kama Dawa na Matunda. Na Musa Mtepa Bustani…

4 December 2021, 23:15 pm

Mkuchika Awataka wazazi kuchangamkia fursa ya elimu

“Hali ya Elimu kwa Wilaya ya Newala hasa kwa Kidato cha sita tumekuwa Tukifanya vizuri kwa muda sasa, kwa matokeo ya Kidato cha sita Shule ya Kiuta ambayo ina Wasichana pekee yake kwa kidato cha tano na sita na shule…

25 November 2021, 13:17 pm

Mafundi umeme wa Mtwara na Lindi wapewa elimu

Nawaomba wananchi kuwatumia mafundi Umeme walio na leseni, wao ndio wenye ufanisi wa kazi ambao tunawatambua na itasaidia endapo mtu utapata changamoto una uwezo wa kuja EWURA kufungua malalamiko tofauti na yule ambae amefanyiwa kazi na fundi ambae hana leseni.…

21 May 2021, 04:58 am

Tunaomba barabara ikamilike

Na Karim Faida Wananchi wa Mtaa wa Kagera kata ya Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa wameiomba serikali kuwawekea kifusi kwenye Karavati lililojengwa na kukamilika katika barabara itokayo Stendi kuu ya Mabasi Mkoa wa Mtwara Chipuputa, na kutokezea kwenye…

21 May 2021, 04:52 am

Mwaka wa 7 hatuna maji safi na salama

Na Karim Faida. Wananchi wa Kijiji cha Lyowa kata ya Muungano halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Mkoani hapa, wameiomba serikali kupitia Wakala wa usambazaji maji na usafi wa masingira RUWASA, kuwarekebishia mradi wao wa maji maarufu kama Mradi wa maji…

15 May 2021, 19:35 pm

Mtwara wamshangaa nahodha mwanamke

Na Karim Faida Wananchi mbalimbali wa Manispaa ya Mtwara mikindani wameonekana kumshangaa Nahodha anayeitwa Mayasa Mzandi ambaye ndiye amekuwa Nahodha wa kwanza katika kivuko cha Mv Mafanikio kinachofanya safari zake kutoka Feri Manispaa ya Mtwara Mikindani hadi Msangamkuu halmashauri ya…