Jamii FM

Miundombinu

21 May 2021, 04:52 am

Mwaka wa 7 hatuna maji safi na salama

Na Karim Faida. Wananchi wa Kijiji cha Lyowa kata ya Muungano halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Mkoani hapa, wameiomba serikali kupitia Wakala wa usambazaji maji na usafi wa masingira RUWASA, kuwarekebishia mradi wao wa maji maarufu kama Mradi wa maji…

15 May 2021, 19:35 pm

Mtwara wamshangaa nahodha mwanamke

Na Karim Faida Wananchi mbalimbali wa Manispaa ya Mtwara mikindani wameonekana kumshangaa Nahodha anayeitwa Mayasa Mzandi ambaye ndiye amekuwa Nahodha wa kwanza katika kivuko cha Mv Mafanikio kinachofanya safari zake kutoka Feri Manispaa ya Mtwara Mikindani hadi Msangamkuu halmashauri ya…

5 May 2021, 16:31 pm

Wafanyabiashara wa Soko la Chuno, wafanya vurugu

Na Gregory Millanzi Wafanyabiashara katika soko la Chuno Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wameilalamikia serikali kuruhusu wafanyabiashara wa soko la sabasaba kufanya Biashara katika soko hilo ambalo mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa aliamuru biashara zote za jumla…

5 May 2021, 12:33 pm

Bodi ya wakurugenzi TANESCO yafanya zira Mtwara

Na Gregory Millanzi Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Dkt Alexander Kyaruzi akiambatana na wajumbe wa bodi hiyo, amewataka wawekezaji kuwekeza Mtwara na Lindi kutokana na uwepo wa Nishati ya umeme wa kutosha. Amesema kuwa…