Podcasts
28 November 2023, 5:32 pm
Watu wenye ulemavu wa akili kulilia marekebisho ya sheria-Kipindi
Na Muandishi wetu. Kuwepo kwa mapungufu katika Sheria ya Adhabu namba 6 Sheria ya Zanzibar ya mwaka 2006 pamoja na marekebisho yake namba 6 ya mwaka 2018 (Penal Act no.6 of 2006 as replaced by Penal Act no. 6 of…
27 November 2023, 5:44 pm
Leo tunaangazia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Hatua za kutokomeza ukatili zianzie katika ngazi ya familia. Na Mwandishi wetu. Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia imezinduliwa ikiwa na kauli mbiu isemayo wekeza kutokomeza ukatili ,kaulimbiu ambayo imewaleta wadau ,serikali na famili kwa pamoja katika…
20 November 2023, 7:38 pm
Kulaya: Bado tunaangazia miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni
Kumbuka kuwa miswada hiyo ni pamoja na wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa mwaka 2023 na muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya…
19 November 2023, 12:22 pm
Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali
Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.
16 November 2023, 4:02 pm
Tumbatu kunufaika na mradi wa maji baada ya kukamilika
Picha ya Tangi la maji lilojengwa tumbatu ambalo linauwezo wa kuingia lita milioni moja. Picha na Vuai Juma Kukamilika kwa mradi kutapunguza tatizo la maji kisiwani tumbatu kwa kiasi kikubwa. Picha ya katibu tawala Tumbatu akiambatana na viongozi wengine katika…
16 November 2023, 3:13 pm
Miaka 10 ya Tumbatu Fm, wenye ulemavu wathaminiwe
Radio ya jamii Tumbatu inaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo maadhimisho hayo yanaambatana na kufanya matendo ya huruma kwa jamii hasa wenye mahitaji maalum. Na Mwanahawa Hassan. Jamii imetakiwa kuishi vizuri na watu wenye ulemavu na kuwapatia mahitaji yao…
15 November 2023, 5:31 pm
Ifahamu Miswada mitatu iliyo wasilishwa bungeni wiki iliyopita
Yapo mambo mazuri waliyobaini baada ya Miswada hiyo kuwasilishwa Bungeni ikiwa ni pamoja na vyama vya Siasa kuwa na Sera ya mambo ya Ujumuishwaji ya Kijinsia na Makundi Maalum,Vyama vya Siasa kuwa na Mipango ya kuimarisha ushiriki wa wanawake,Vijana na…
14 November 2023, 6:40 pm
Yafahamu makundi na mgawanyiko wa majukumu ya nyuki kwenye mzinga
Je Maisha ya Nyuki yapoje katika Mzinga. Na Yussuph Hassan. Nyuki wamegawanyika katika aina kuu mbili pamoja na mgawanyo wa majukumu katika kila koloni.Leo Afisa nyuki anatueleza makundi na aina ya majukumu ya nyuki kwenye makoloni yao.
14 November 2023, 5:58 pm
Athari za mabadiliko ya tabia nchi zinavyosababisha kushuka kwa elimu ya wasicha…
Leo tunaangazia jinsi Athari za mabadiliko ya tabia nchi zinavyosababisha kushuka kwa elimu ya wasichana. Na Mariam Matundu. Mariam matundu awali alizungumza na mwanaharakati wa maswala ya mabadiliko ya tabia nchi na haki za wasichana fower malle na ameanza kumuuliza…
14 November 2023, 12:44 pm
Madhara kwa mama mjawazito kutumia vyakula visivyo sahihi
Kipindi hiki kinaeleza madhara ya kiafya kwa mama na mtoto amabae hazingatii vyakula vyenye lishe bora kipindi cha ujauzito, na namna ya vyakula sahihi vyenye lishe anavyotakiwa kutumia.