Podcasts
4 December 2023, 4:57 pm
Makala: Ushirikiano wa wazazi na walimu katika maendeleo ya mtoto shuleni
Na Mariam Matundu. Mwandishi wetu Mariam Matundu amezungumza na Kamishna wa Elimu Tanzania, Dk. Lyambwene Mutahabwa na hapa anaelezea umuhimu wa ushiriki wa wazazi na walimu katika Maendeleo ya Mtoto.
30 November 2023, 6:16 pm
Mazingira duni, malezi tishio haki za watu wenye ulemavu Zanzibar
Licha ya utaoji wa elimu na hatuambalimbali zinazochukuliwa na SerIkali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya jamii kutambua haki, wajibu na usawa kwa watu wenye mahitaji maalum, bado inaonesha kuwa mwamko ni mdogo kutokana na baadhi ya jamii kuwa na…
29 November 2023, 3:43 pm
Uhuru wa matumizi ya kipato kwa wafanyakazi wa majumbani
Na Mariam Matundu Leo tunazungumzia wafanyakazi wa majumbani, wanawezaje kuwa huru na matumizi ya kipato chao Mariam amefanya mazunguzo na katibu wa chama cha wafanyakazi za nyumbani Chodau mkoa wa Dodoma na Ameanza kumuuliza kwanini baadhi ya wafanyakazi hao wanakosa…
29 November 2023, 3:21 pm
Historia ya kilimo cha Zabibu
Dodoma ndio mkoa pekee unaolima Zabibu kwa wingi nchini Tanzania na hata kwa afrika mashariki ndio mkoa wenye utajiri mkubwa wa zao hili. Na Yussuph Hassan. Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na…
29 November 2023, 9:15 am
Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana Iringa-Makala
Vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi iringa waiomba serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kupata elimu na huduma ya afya ya uzazi ili kuwawezesha kujikinga na magonjwa ya zinaa. Undani wa taarifa hii sikiliza makala ifuatayo
28 November 2023, 6:11 pm
Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili
Na Mariam Matundu. Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ? Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa…
28 November 2023, 5:32 pm
Watu wenye ulemavu wa akili kulilia marekebisho ya sheria-Kipindi
Na Muandishi wetu. Kuwepo kwa mapungufu katika Sheria ya Adhabu namba 6 Sheria ya Zanzibar ya mwaka 2006 pamoja na marekebisho yake namba 6 ya mwaka 2018 (Penal Act no.6 of 2006 as replaced by Penal Act no. 6 of…
27 November 2023, 5:44 pm
Leo tunaangazia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Hatua za kutokomeza ukatili zianzie katika ngazi ya familia. Na Mwandishi wetu. Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia imezinduliwa ikiwa na kauli mbiu isemayo wekeza kutokomeza ukatili ,kaulimbiu ambayo imewaleta wadau ,serikali na famili kwa pamoja katika…
20 November 2023, 7:38 pm
Kulaya: Bado tunaangazia miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni
Kumbuka kuwa miswada hiyo ni pamoja na wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa mwaka 2023 na muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya…
19 November 2023, 12:22 pm
Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali
Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.