Podcasts

12 December 2023, 9:17 pm

Leo tunaangazia Wafanyakazi wa Nyumbani

Baadhi ya wafanyakazi wa Nyumbani wamekuwa hawana uhuru na vipato vyao. Na Mwandishi wetu. Kufuatia kuwepo kwa wimbo la baadhi ya waajiri na wazazi wa wafanyakazi wa nyumbani kutokuwapa uhuru wa kipato wafanyakazi wao baadhi ya wananchi wametoa maoni yao…

8 December 2023, 11:40 am

Makala: Mkenda ahamasisha kilimo cha parachichi Rombo

Mbunge wa Jimbo la Rombo Pro Adolf Mkenda amekabidhi Miche ya maparachichi zaidi ya elfu moja kwa wakulima kutoka vijiji mbali mba doli Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda amekabidhi Miche…

8 December 2023, 11:09 am

Makala: Bei ya mahindi katika soko la Terrat

Wachuuzi wa mahindi katika soko la Terrat Wakaazi wa kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro wamelalamikia hali ya mfumuko wa bei ya mahindi ulivyongezeka kwa zaidi ya asilimia 100 kutoka shilingi elfu 7,000 hadi shilingi elfu 15,000. Na Isack Dickson.…

8 December 2023, 10:50 am

Makala: Ukatili wa kijinsia ni kinyume na Haki za binadamu

Watoto wa kike kutoka jamii za kimaasai wanaeendelea kuwa wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia Na Saitoti Saringe Kutokana na mila kandamizi katika jamii ikiwemo ukeketaji, kutopewa fursa ya elimu na kumiliki ardhi ni sababu kubwa inayopelekea watoto wengi kutoka…

7 December 2023, 8:59 pm

Nguvu iongezwe katika elimu dhidi ya ukatili kwa watoto

Bado tupo katika siku 16 za kupinga ukatili na leo tutaangazia yafuatayo. Na Mariam Matundu. Ikiwa bado maadhimisho ya siku 16 yanaendelea ,imeshauriwa kuwa nguvu kubwa iongozwe katika kutoa elimu ya ukatili kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kutambua na…

6 December 2023, 12:56 pm

Zifahamu hatua za kilimo cha zabibu

Kwa nini zao la zabibu hustawi zaidi katika eneo la mkoa wa Dodoma na si maeneo mengine? Na Yussuph Hassan. Baada ya kufahamu kwa undani aina za zabibu nchi zilizotoka na njia zilizotumika pamoja na utafiti kwanini mkoa wa dodoma…