Podcasts

24 May 2022, 8:08 pm

Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.

Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid].    …

19 May 2022, 5:24 pm

RC KAFULILA AAGIZA KUONDOLEWA KWA MENEJA WA WAKALA WA MAJI NA USAFI…

Mkuu  wa  Mkoa  wa  Simiyu  Mh  David  Zacharia  Kafulila  ameagiza  kuondolewa  Meneja  wa  Wakala wa  Maji   na  Usafi  wa  Mazingira  vijijini   wilayani   Maswa   Lucas  Madaha  kwa  Kushindwa   kusimamia  miradi  ya   Maji  ambayo  imekuwa  ikitolewa  na  Serikali.. Mh  kafulila  ametoa   maagizo …

14 May 2022, 5:43 pm

Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari. Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya…

20 October 2021, 18:48 pm

Makala: Nafasi ya wanawake katika Tasnia ya Habari

Wananwake katika tasnia ya habari na Vyombo vya habari ni makala ambayo imeandaliwa ili kuangalia nafasi yake, Fursa na changamoto zilizopo katika mkoa wa Mtwara. Karibu katika makala haya ili uweze kujua masuala mbalimbali yanayofanywa na wanawake katika vyumba vya…

19 October 2021, 14:51 pm

Makala: Kilimo Biashara ndani ya Mtwara

Karibu usikilize Makala ya Kilimo biashara ambapo tumezungumzia mazao mbalimbali pamoja na hali ya biashara ya mazao haya ndani ya mkoa wa Mtwara, Ungana na Musa Mtepa katika makala haya.

18 October 2021, 16:21 pm

Makala: Upatikanaji wa mikopo kwa wanawake

Makala haya yameandaliwa na Habiba Mpimbita kuhusu thamani ya mwanamke na safari hii anaangalia uelewa wa wanawake kama wanafahamu juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri juu ya wajasiliamali.