Podcasts

12 October 2022, 3:56 pm

wakulima wilayani Rungwe wametakiwa kutumia mbolea kwa usahihi

RUNGWE-MBEYA NA:SABINA MARTIN Kuelekea madhimisho ya siku ya mbolea duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo octoba 13 wakulima wilayani hapa wametakiwa kutumia mbolea kwa usahihi ili kupata mazao mengi. Akizungumza kwa njia ya simu na Chai FM  afisa kilimo wilayani…

6 October 2022, 1:34 pm

Vikundi ni Njia ya Maendeleo kwa Jamii

NA: Mary Julius na Thuwaiba Mohd : Mwakilishi wa jimbo la Paje Soud Nahodha Hassan wamewataka wakinamama kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali ili kuweza kusaidiawa katika kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi. Akizungumaza mara baada ya kuzindua na kukabidhi  kisima cha…

19 August 2022, 10:22 am

Stamina ndani ya Banja Beat ya Pangani FM

Niaje, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM Leo hii tumekuletea mkali wa vina na ‘wordplay’ stamina ambaye amepia stori na Mtangazaji wetu Stephano Simanagwa katika kipindi cha Banja Beat kinachokwenda hewani Jumatatu mpaka Ijumaa saa 8 kamili mchana mpaka saa…

11 August 2022, 5:25 pm

Wakenya wengi wasusia Uchaguzi 2022.

Nchini Kenya leo ni siku ya 2 tangu wananchi wake walipopanga mstari kuelekea masanduku ya kupiga kura kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi mkuu wa 2022 mara baada ya kampeni kukamilika. Vyombo vya habari nchini humo vinajaribu kufanya hesabu za kumjua…

6 August 2022, 7:44 pm

DC MASWA AOKOA ZAIDI YA LITA 30,000 ZA MAFUTA YA DIESELI ZILIZOTAKA …

Mkuu wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  ameliagiza  Jeshi  la Polisi  kuwasaka  na  kuwakamata  watu  wote  waliofanya  hujuma  za  kutaka  kuiba  Mafuta  aina  ya  Dieseli  katika  kituo  cha  Malampaka  ambapo  Ujenzi  wa  Reli  ya  Kisasa   SGR  Unaendelea. Mh  …