Podcasts

23 March 2023, 6:41 pm

Usichojua kuhusu Mtaa maarufu wa Mathius Dodoma

Mtaa wa Mathius ni moja ya mtaa wenye miaka mingi jijini Dodoma, Jina la mtaa wa Mathius limetokana na mzee mathius mwenye asili ya kabila la kigogo fahamu historia yake ikiwa ni mtaa maarufu sana jijini humo. Na Martha Mgaya.…

10 March 2023, 5:07 pm

Hizi hapa aina nne za zabibu zinazozalishwa jijini Dodoma

Leo tutaangalia historia ya aina na maumbo mbalimbali ya tunda la zabibu linalozalishwa ndani ya jiji la Dodoma. Na Yusuph Hassani. Darwesh Said ambaye ni mwakilishi wa kikundi cha kutunza mazingira chapakazi anasimulia historia mzima ya kuhusiana na aina ya…

27 February 2023, 3:11 pm

Hii hapa historia ya zabibu kuingia nchini

Leo tutaangalia ni jinsi gani tunda la zabibu lilivyoweza kuingia nchini pamoja na historia nzima ya kuhusiana na zabibu. Na Yusuph Hassani. Darwesh Said ambaye ni mwakilishi wa kikundi cha kutunza mazingira chapakazi anasimulia historia mzima ya kuhusiana na tunda…

22 February 2023, 1:00 pm

Zifahamu siri za fimbo za kitemi

Simulizi hii inatufafanulia masuala ya fimbo zilizokuwa zikimilikiwa na watemi wa kabila la wagogo na majaabu ya fimbo hizo. Na Yusuph Hassan. Chifu Lazaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu himaya ya Bwibwi jijini Dodoma amesimulia simulizi hiyo ya…

19 February 2023, 4:13 pm

Andaeni mikakati ya usafi ili itekelezwe

Na Rifati Jumanne Katika kuhakikisha Halmashauri ya Mji wa Ifakara inarejea katika usafi wa mazingira,mashirika yasiyo ya kiserikali Wilayani Kilombero imewaomba Halmashauri ya Wilaya kuandaa mikakati maalumu ili wao waitekeleze kama ilivyo azma yao ya kusaidiana na serikali katika kila…