Podcasts

10 April 2023, 1:20 pm

Yafahamu matumizi sahihi ya PrEP na PEP

Inaelezwa kuwa dawa hizi za PrEP na PEP kama zitatumika kwa usahihi zinaweza kuzuia maambukizi ya VVU. Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa matumizi ya sahihi ya dawa kinga za PrEP na PEP, ni moja wapo kati ya njia salama ya…

10 April 2023, 11:29 am

Fahamu matumizi ya gesi asilia nyumbani

Na Mussa Mtepa Uwepo wa mtandao wa gesi asilia kwaajili ya kupikia katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kumesaidia kumtunza mazingira na muda wa kukaa jikoni kwaajili ya maandalizi ya chakula. Katika makala haya utasikia wanufaika mbalimbali wa…

7 April 2023, 5:23 pm

Zifahamu athari za ugonjwa wa P.I.D

Je mtu asipopata tiba au kutozingatia tiba aliyopewa atapata athari gani. Na Yussuph Hassan. Tukiendelea na mfululuzo wa kuzungumzia juu ya Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D, baada ya kufahamu chanzo matibabu yake na leo tunazungumzia juu athari…

4 April 2023, 3:48 pm

Ufahamu ugonjwa wa P.I.D

Maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke yanayosababishwa na bakteria wakati mwingine huweza kupelekea ugumba. Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi P.I.D ni moja kati ya magonjwa ya zinaa yanayoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke endapo hatapatiwa tiba kwa wakati.

27 March 2023, 11:18 am

Kipindi: Elimu ya ugonjwa surua na rubella

Na Gregory Millanzi, Mwanahamisi Chikambu na Mussa Mtepa Utoaji wa chanjo ya surua na rubella kwa watoto umeanza kwa awamu ya dharula baada ya uwepo wa mlipiko wa magonjwa hayo ambayo yanawaadhiri watoto. Kupitia kipindi cha dira ya asubuhi tumewapata…