Podcasts
18 April 2023, 4:49 pm
Zifahamu dalili za Ukoma
Ufahamu ugonjwa wa ukoma na dalili zake. Ugonjwa wa ukoma huambatana na dalili mbalimbali ambapo dalili hizo huchukua muda kujitokeza na leo tukiendelea kufahamu dalili zake na Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu baada ya…
17 April 2023, 2:20 pm
Yafahamu maajabu na ishara za mnyama adimu Kakakuona
Mnyama huyu anapo onekana katikajamii nini huwa kinafanyika. Na Yussuph Hassan. Jamii nyingi huamini ishara za mnyama huyo kwani anapo onekana wanajamii huwa na hamu ya kufamamu ni nini ambacho atatabiri katika jamii hiyo hivyo hufanya mila ikiwemo kupiga ngoma…
17 April 2023, 1:55 pm
Ugonjwa wa ukoma ni nini
Na Yussuph Hassan. Leo tunazungumzia ugonjwa wa ukoma ambao, ugonjwa huo unaambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mtu mwingine kwa njia ya hewa. Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu unaotokana na ukoma anaanza na…
14 April 2023, 5:16 pm
Makala ikielezea malezi bora kwa watoto
Package ikieleza wazazi manispaa ya Iringa wametakiwa kuishi kwa upendo na kuepusha migogoro ndani ya familia ili waweze kuwalea watoto wao katika malezi chanya.
14 April 2023, 3:12 pm
Asili ya ngoma za wagogo
Ngoma zimeendelea kuwa moja ya urithi wa katika kabila hili la wagogo ka njia njia ya kuburudika katika sherehe mbalimbali. Na Yussuph Hassan. Ngoma za wagogo, ngoma hizi ni jadi ya kabila la kabila la wagogo katika shughuli mbalimbali huchezwa…
13 April 2023, 6:33 pm
Ifahamu maana ya alama ya Ndonye kwa kabila la Wagogo
Ndonye ilitumika kwa watoto wadogo hapo zamani wa kabila hili la wagogo kama kinga ya macho lakini kwasasa wanasema hawaweki tena alama hiyo. Na Yussuph Hassan. Makabila mbalimbali Afrika na Tanzania huwa na alama mbalimbali ambazo hutambulisha kabila hilo kwa…
13 April 2023, 3:53 pm
Ifahamu dawa aina ya PEP
Hii ni njia ya kuzuia maambukizi ya VVU kwa mtu asiye na VVU ambaye anaweza kuwa ameambukizwa virusi hivi Na Yussuph Hassan. Tunaendelea na mfululizo wa kuzungumzia juu ya dawa kinga za VVU, Prep na Pep, na leo Afisa Tabibu…
11 April 2023, 5:17 pm
Yafahamu makundi yanayopaswa kupatiwa PREP
Afisa Tabibu Glory Martin kutoka zahanati ya makole leo akiendelea kuzungumzia makundi hayo. Na Yussuph Hassan. PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU kwa watu wasio na VVU, ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU, dawa kinga…
11 April 2023, 1:34 pm
Jamii yatakiwa kuchukua mikopo kwa malengo
Wananchi wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye mikopo ambayo baadae huwa changamoto kwao. Na Leonard Mwacha. Jamii imepaswa kuepuka mikopo ambayo hugeuka kuwa changamoto kwao badala yake wafuate utaratibu wa kifedha ili kuweza kukopa kwa malengo.
11 April 2023, 12:17 pm
Kipindi: Wenye ulemavu wanavyoweza kuibadilisha jamii kivitendo na mtazamo
Na Musa Mtepa Mifumo ya usaidizi ni muhimu ili watu wenye ulemavu waweze kuishi maisha yenye utu, waweze kujitegemea na wawe huru zaidi, haya ni maneno yaliyosemwa Machi 13 2023 kwenye mkutano wa ‘’Mtazamo wa Kimataifa wa Habari za kiutu’’ huko…