Podcasts

8 June 2023, 14:34 pm

Makala: NEMC Mtwara yateketeza taka za plastiki

Na Musa Mtepa. Siku ya mazingira duniani Juni 6, 2023 Baraza la taifa la uhifadhi wa mazingira mkoani Mtwara (NEMC) imeadhimishwa mkoani Mtwara kwa kuteketezwa kwa taka za plastiki zaidi ya kilo 600 zenye thamani ya shilingi milioni nne. Akizungumza…

22 May 2023, 4:21 pm

Fahamu jinsi maziko ya watu wa kale yalivyofanyika

Chifu Chihoma alipata wasaa wa kutuelezea kuhusu uzikaji wa watu wa kale ulivyo kuwa unafanyika. Na Mariam Kasawa. Mtazamaji wa Fahari ya Dodoma bado tunaendelea kukujuza mambo mbalimbali hususani historia za kale lengo letu likiwa ni kukuonesha fahari zilizopo hapa…

22 May 2023, 3:44 pm

Matambiko na siri ya maji ya kisima cha Bwibwi

Nilimuuliza chifu je kisima hiki cha Bwibwi huwa na maji katika misimu yote au wakati wa kiangazi hukauka ? Na Mariam Kasawa. Mtazamaji wa fahari tunaenedelea kusikiliza historia ya kisima hiki cha Bwibwi kisima ambacho hadi leo bado baadhi ya…

19 May 2023, 6:15 pm

Fahamu historia ya kisima cha Bwibwi kilichomeza watu 29

Imani ya watu dhidi ya maji ya kisima hiki ni kubwa, chifu anatueleza na kutuonesha mfano wa kunywa maji haya. Na Mariam Kasawa. Bado tunaendelea kukujuza mambo mbalimbali ya kale, historia za kale zinazopatikana mkoani Dodoma kupitia fahari ya Dodoma.…