Podcasts

3 August 2023, 4:43 pm

Ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii

Utandawazi unatajwa kuwa na ukombozi wa kupunguza vitendo hivi vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii. Na Mariam Matundu. Mariam matundu amezungumza na Bwana Stanley Nyambuya yeye alikuwa anafanya shughuli ya kukeketa mabinti hapo zamani lakini kwa sasa ameacha.

31 July 2023, 4:53 pm

Historia ya bwawa la Hombolo

Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…

28 July 2023, 5:07 pm

Fahamu shughuli zinazofanyika bwawa la Hombolo

Je bwawa hili linawanufaisha vipi wakazi wa Hombolo hususani katika shughuli mbalimbali kama kilimo na uvuvi? Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo limekuwa likitumika na wakazi wa eneo hilo kwa ajili ya uvuvi wa samaki aina ya perege na wengine…

28 July 2023, 3:50 pm

Ifahamu historia ya bwawa la Hombolo

Wananchi katika vijiji vingi vya jirani walikimbia makazi yao na kuhamia vijiji vingine wakati wa ujenzi wa bwawa hilo, ikiwa ni pamoja na Zepisa. Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo lilijengwa ili kuunda  bwawa lililopo katika kijiji cha Hombolo Bwawani. Bwawa hilo lilijengwa na serikali ya kikoloni…

28 July 2023, 2:41 pm

Bodi mpya yatakiwa kusimamia kanuni, taratibu

Pia amesema wana jukumu la kuishauri wizara kujua ni namna gani Wakala wa Vipimo iboreshe utendaji kazi wake. Na Seleman Kodima. Waziri wa Viwanda na Bashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji  amewataka wajumbe  wapya wa bodi ya sita ya ushauri ya…

25 July 2023, 5:01 pm

Nini siri ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi?

Wakulima wa eneo hilo wanadai kuwa hawapendelei kutumia mbolea katika kilimo cha mpunga. Na Yussuph Hassan. Licha ya watu wengi kuamini kuwa mkoa wa Dodoma ni eneo kame lakini eneo hili linafaa pia kwa kilimo. Wakazi wa wialaya ya Bahi…

July 25, 2023, 1:59 pm

John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali

Mwanaume  huyu anayejulikana kwa jina la  John Gabriel  Mandale mkazi wa kata  ya Shunu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia  matatizo makubwa baada ya  kupata ajali  na kupasuka  kichwa   alipokuwa akitekeleza  majukumu yake ya kikazi huko  mkoani Geita Mgodini  hali…