Podcasts
19 June 2024, 1:34 pm
Vikao vinavyofanyika kwenye eneo lako vinatoa nafasi ya kujadili maswala ya ukek…
Kulingana na ripoti ya afya ya demografia na makazi yaani Demographic And Health Survey ya mwaka 2015/16 mkoa wa Manyara unaongoza kwa ukeketaji kwa asilimia 58 ya wanawake wenye umri kati ya miaka 15-49 wamefanyiwa ukeketaji. Nijuze redio show. Bado…
5 April 2024, 4:40 pm
Kiongozi wako anatoa nafasi kwa wanawake kufuatilia utekelezaji wa miradi ya afy…
Kwa mujibu wa Sera ya Maendeleo ya Jinsia ya mwaka 1992 inalenga kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake katika nyanja zote za maendeleo, Sera hii inasisitiza kuwashirikisha wananwake katika kupanga, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo katika ngazi…
1 April 2024, 15:19 pm
Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala
“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi” Na Musa Mtepa Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi . Kupitia kipindi hii…
12 February 2024, 15:07 pm
Umuhimu wa kutunza mazingira kwa kutumia upandaji maua-Kipindi
Kipindi cha Mazingira ambacho amesikika kijana Nelson Everisty mkazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambae amekuwa akizalisha maua katika Eneo hilo huku akielezea namna yanavyoweza kutunza Mazingira ya Nyumbani na mengine hutumika kama Dawa na Matunda. Na Musa Mtepa Bustani…
8 February 2024, 7:12 pm
Wanawake wanashiriki vipi katika kufanya maamuzi ya familia?
Wanakijiji wa kijiji cha Terrati Simanjiro mkoani Manyara Mwandishi wetu akifanya mahojiano na mwenyekiti wa Malaigwani wilaya ya Simanjiro Lesira Samburi. Mwanamke amekuwa akikosa nafasi ya kutoa maamuzi ngazi ya familia ikisemekana sababu kubwa ni mila na desturi za jamii…
5 February 2024, 14:08 pm
Fahamu manufaa ya uwepo wa shughuli za Gesi Kijiji cha madimba katika Miradi ya…
Kwa mujibu wa SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kiwango cha uchakataji wa gesi asilia kwa miaka nane katika kiwanda cha kuchakata gesi asilia cha Madimba kimeongezeka kutoka futi za ujazo milioni 20 mwaka 2015 hadi kufikia futi za…
25 January 2024, 11:47 am
Watoto miaka 5-14 hatarini kupata kichocho Rungwe-Kipindi
Na Lennox Mwamakula – Rungwe Jamii imeshauriwa kutoa ushirikiano pindi watoto wanapo takiwa kupatiwa chanjo ya mangojwa mbalimbali kwani itasaidia kuimarisha kinga kwa watoto Kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa kinga ambaye pia ni afisa afya Ndugu Leonard Shaba kwenye…
20 January 2024, 1:46 pm
Nini chanzo cha idadi ndogo ya wanafunzi kidato cha kwanza kata ya Terrat?
Waliohudhuria shuleni ni wengi lakini si wote kwani waliofaulu wote wanatakiwa kuripoti shule. Na Mwandishi wetu. Ni wiki ya pili sasa tangu wanafunzi wa kidato cha kwanza kutakiwa kuripoti shuleni nchi nzima kwa shule ya sekondari Terrati wilaya ya Simanjiro…
18 January 2024, 8:56 am
Yafahamu madhara ya ugonjwa wa kipindupindu
Yafahamu madhara ya ugonjwa wa Kipindupindu endapo mtu atabainika kuwa na ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan.Tukiwa katika muendelezo wa kupata elimu juu ya ugonjwa wa kipindupindu na leo tunafahamu madhara ya ugonjwa huo endapo mtu akibainika kuwa na kipindupindu. Afisa…
17 January 2024, 8:50 am
Mambo ya kuzingatia kuepuka kipindupindu
Jamii imekumbushwa kuendelea kunawa na maji tiririka pindi wanapotoka maliwato ili kujilinda na kujikinga na maradhi hayo. Na Yussuph Hassan.Ikiwa tunaendelea kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu, Jamii imesisitizwa kuhakikisha wanajenga na kutumia Vyoo bora ili kupekuna na ugonjwa wa…