Dodoma FM

ziara

22 October 2025, 3:09 pm

Ushiriki wa wanawake kupiga kura october 29

Zikiwa zimebaki siku chache Tanzania kufanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani, baadhi ya wanawake mkoani Manyara wameonekana kuwa mstari wa mbele kushiriki uchaguzi mkuu na kuwachagua viongozi wanaowataka. Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid Fm Manyara imekuandalia makala…

24 May 2025, 20:52

Vijana wafikiwa,wapewa elimu ya afya

‎Wataalamu wa afya watakiwa kutoa kipaumbele kwa vijana katika kuwapa elimu ya afya ili kuwasaidia kuondokana na changamoto zinazochangiwa na ukosefu wa elimu hiyo.‎‎Na Lukia Chasanika‎‎Shirika la DSW Tanzania limeendelea kutoa elimu mbalimbali kwa vijana waliopo vyuoni na nje ya…

11 April 2025, 11:32 am

RC Geita akabidhi bima za afya 102 kwa watoto yatima

Watoto 102 wa kituo cha kulea watoto yatima cha moyo wa huruma kilicho chini ya kanisa katoliki geita wamekabidhiwa bima za afya za NHIF jana April 09 2025. Na: Daniel Magwina: Akizungumza katika zoezi hilo la kukabidhi bima hizo mkuu…

17 August 2024, 3:58 pm

Makamu wa rais kufanya ziara ya siku tatu Dodoma

Dkt Philip Mpango ataanza ziara yake mkoani Dodoma tarehe 19 mwezi huu hadi tarehe 21 mwezi nane kwenye wilaya za Chamwino ,Bahi ,Mpwapwa,Kongwa ,chemba na Kondoa. Na Seleman Kodima.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Dkt. Philip Isdory…

17 July 2024, 2:38 pm

Jamii zatakiwa kutumia taasisi za kitafiti kujifunza

lengo la ziara hiyo ni kutekeleza Sera ya Elimu ya mwaka 2023 na kuwaongezea watoto ari ya kujifunza masomo ya amali. Na Steven Noel.Jamii imeshauriwa kuzitumia taasisi za kitafiti katika kujifunza na kujiongezea uelewa wa mambo mbalimbali yahusuyo maendeleo na…

29 February 2024, 3:48 pm

Chipogolo walazimika kufuata baadhi ya huduma za Afya Mtera

Mh. Senyamule ametembelea kituo cha afya cha Rudi ambacho kinahudumia wananchi takribani 15,440 kutoka vijiji vitano, kituo kilipokea kiasi cha shilingi Milioni 701 kwa ajili ya ujenzi wa Maabara ambayo ipo katika hatua ya umaliziaji na Shilingi Milioni 300 kwa…