Dodoma FM

Wanawake

20 October 2025, 4:43 pm

Sumry awaahidi wanampanda mbolea ya ruzuku

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mpanda wa pili kutoka kulia akiwanadi wagombea wa jimbo hilo. Picha na Leah Kamala “Ndugu zangu wa Kasokola kwenye kilimo Rais Samia amefanya kazi kubwa” Na Leah Kamala Mgombea Ubunge wa jimbo la mpanda mjini…

6 October 2025, 5:07 pm

Jamii yaaswa kuacha kuwabeza makondakta wanawake

Kazi ya ukondakta ni kazi kama kazi nyingine, hivyo wanawake wana nafasi sawa ya kuifanya bila kubaguliwa. Picha na Blog. Amesema wanawake hao wamekuwa wakijituma kama watu wengine katika kutafuta kipato, ili kuhakikisha familia zao zinapata mahitaji ya msingi na…

30 August 2025, 2:58 pm

Dkt. Nchimbi aelezea yaliyotekelezwa Bunda chini ya Rais Samia

Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaeleza wanabunda kuwa sera za mgombea urais Dkt.Samia zinalenga kuwaletea maendeleo wananchi na kuboresha kwa kiwango kikubwa. Na Catherine Msafiri. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM na mgombea mwenza wa urais kupitia chama hicho Dkt.Emmanuel Mchimbi…

17 August 2025, 12:22 pm

TMDA yabaini uwepo wa bidhaa bandia ya dettol za maji

Mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA)imebaini uwepo wa bidhaa ya Dettol za maji bandia zinazotengenezwa kinyume cha sheria kwa njia haramu na kubandikwa lebo kuonesha ni dettol zilizo halisi. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza na Fm Manyara, Meneja wa TMDA…

17 February 2025, 5:41 pm

Jengo la ofisi za hazina lazinduliwa mkoani Geita

Serikali imeendelea kuimarisha na kuboresha huduma za wizara ya fedha ikiwemo kusogeza huduma hizo karibu na wananchi zaidi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wizara ya fedha imetoa onyo kwa watu na taasisi mbalimbali za fedha zinazotoa mikopo umiza kwa wananchi…