Dodoma FM

vipimo

6 December 2025, 12:32 pm

Viongozi wa dini Katavi watoa tamko la amani

“Sisi kama viongozi wa dini tutashirikiana na wananchi katika kudumisha amani” Na Restuta Nyondo Viongozi wa dini mkoani Katavi wametoa tamko la amani na kuhamasisha utulivu na ushirikiano kwa wananchi huku wakisema ni wajibu wa kila mtu kulinda amani na…

25 November 2025, 7:01 pm

DC Jamila awaasa wananchi kudumisha amani

“Sisi tunathamini mchango mnapokuwa na jambo lolote mtufikie” Na John Benjamin Wananchi wa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wameaswa kudumisha amani na mshikamano utakaokuwa nyenzo muhimu wa kufanya shughuli za maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa masirahi taifa kwa ujumla.…

22 November 2025, 7:26 pm

Shirika la SMD lagusa maisha ya mtoto mwenye ulemavu

Baadhi ya wazazi na walezi nchini wamekuwa tabia za kutowapeleka shule watoto wenye ulemavu jambo linalokemewa vikali na Serikali pamoja na asasi za kiraia Na;Joyce Rollingstone Wazazi na Walezi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, wametakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu na badala…

18 November 2025, 6:16 pm

Uongozi wa bodaboda Katavi wahamasisha amani na utulivu

Viongozi wa bodaboda Katavi wakiwa kwenye picha ya pamoja na bodaboda. Picha na Samwel Mbugi “Lengo ni kuwapongeza bodaboda wa Katavi kwa kuendelea kuitunza amani” Na Samwel Mbugi Mwenyekiti wa umoja wa maafisa usafirishaji (Bodaboda) mkoa wa Katavi Isack Daniel…

11 September 2025, 8:36 pm

Wananchi wakaribishwa ‘Mara day’

Maadhimisho hayo ya 14 yanatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 15, 2025, katika Viwanja vya Mwenge, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara. Na Thomas Masalu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mara na…

6 March 2025, 12:05 pm

Mradi wa ‘Tabasamu kwa wote’ kunufaisha wasichana

BAKWATA mkoa wa Geita kupitia mradi wa TABASAMU KWA WOTE waanzisha kituo cha ushonaji na ujasiriamali ili kusaidia vijana wa kike. Na: Edga Rwenduru – Geita Kutokana na kuwepo kwa wimbi la vijana wa kike wanaomaliza elimu ya msingi na…

20 May 2021, 2:31 pm

Wakala wa vipimo wafanya ukaguzi wa mizani Jijini Dodoma

Na;MARIAM MATUNDU. Ikiwa leo ni siku ya vipimo Duniani wakala wa vipimo Mkoani Dodoma  wametembelea na kufanya ukaguzi wa mizani katika maeneo ya hospitali na sehemu za kufanyia mazoezi. Akizungumza katika ukaguzi huo kaimu meneja wa wakala wa  vipimo Mkoa…