Dodoma FM
Dodoma FM
10 July 2025, 8:29 pm
Zaidi ya miaka 25 serikali ya mtaa wa Shilabela Manispaa ya Geita imekuwa ikiishi katka ofisi za kupanga katika majumba ya watu. Na Kale Chongela: Wakazi wa mtaa wa Shilabela Manispaa ya Geita wameamua kuanzisha ujenzi wa ofisi ya kudumu…
8 July 2025, 7:15 pm
Ngozi imekuwa na matumizi mengi kama kutengeneza viatu na bidhaa nyingine lakini kwa Geita imekuwa tofauti. Na Mrisho Sadick: Kijana Robert Charles Mkazi wa Mwembeni Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita ameamua kujishughulisha na kazi ya uuzaji wa ngozi choma kitoweo kipya ambacho…
2 July 2025, 11:38 am
Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan afungue rasmi Daraja la JP Magufuli ili lianze kutumika kuanzia Juni 19, 2025 wananchi wameendelea kupongeza hatua hiyo. Na Mrisho Sadick: Wananchi na wakulima wa Mkoa wa Geita wameendelea kuipongeza…
26 June 2025, 8:47 am
Mahali ulipopumzishwa mwili wa Silavius. Picha na Leah Kamala “Ni tukio ambalo haulitegemei linatokea katika utafutaji” Na Leah Kamala Kijana mmoja mwendesha pikipiki ya magurudumu matatu maarufu kama bajaji kata ya Nsemulwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi Silavius Nestory Kameme…
19 June 2025, 11:14 pm
Wafanyabiashara wa mazao ya misitu na mazao ya nyuki wilayani Hanang mkoani Manyara wametakiwa kujisajili kupata leseni za kufanya biashara hizo au kuuisha leseni zao kwa wafanyabiashara ambao wana leseni ifikapo july 1. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na…
19 June 2025, 18:53 pm
“Mabadiliko makubwa yameanza kujitokeza ambapo wanawake wameanza kushika nafasi muhimu za uongozi katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi na hata uongozi katika taasisi za dini.” Na Mwanahamisi Chikambu Katika historia ya jamii nyingi duniani, mwanamke ameonekana kuwa nyuma katika masuala…
18 June 2025, 2:26 pm
Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi limewakosha watu wengi kwakuwa litaondoa adha ya wananchi kuchelewa kutokana na kusubili vivuko Na Mrisho Sadick: Mawakala wa Mabasi yaendayo mikoani na maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Geita wametoa mabasi saba…
14 June 2025, 12:00 pm
Huduma za Afya zilivyoboreshwa katika Zahanati ya Bulima iliyopo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya Wananchi Kuibua changamoto za Uhaba wa Watumishi, Masuala ya wagonjwa kuombwa Rushwa na Lugha chafu zilizokuwa zinatolewa na Watoa Huduma kwa Wagonjwa. Baadae…
13 June 2025, 11:05 pm
Tukio hili liliwashangaza wengi kwani licha ya mtambo huo kuparamia makazi hayo na kuharibika vibaya hakuna mtu hata mmoja aliyepoteza maisha. Na Mrisho Sadick Familia nne katika kitongoji Cha Isingiro Kata ya Lwamgasa wilayani Geita Mkoani Geita zilizo vunjiwa makazi…
12 June 2025, 3:56 pm
Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale imeendelea kupata hati safi kutoka kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG Na Mrisho Sadick: Kaimu mkuu wa mkoa wa Geita ambae ni mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwasa amewataka…